Recent content by Brother V

  1. B

    Msaada kidogo swali DS hapa

    First yr utawajua tu...tena huyu atakua ni first yr wa udom kama ckosei coz wao ndo wanahzo code
  2. B

    UDOM mbona kama hakuna uongozi wa wanafunzi

    Hahahahaaaa....da! haya matunda ya BRN taaabu kweli kweli.Yan nlipoona huo uzi nkafkr kuna cha maana kumbe ni dume zma ndo linalalamikia issue za msosi!!!! we ulienda chuo kusoma au ulienda kula? Yan hyo 1500 tu unataka uwe unapakuliwa sinia zma?!! Watu tumesomea UDOM miaka mitatu na tulikua...
  3. B

    Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Kwa mtu aliyemaliza form four ni vigezo gan vnavyohtajka? aliyemalza form six je?
  4. B

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    1. Nyie ni kina nani mpaka mkazihoji hzo mnazo ziita idara za ndani za NECTA kuhusu post? 2. Aliyewqmbia kwamba NECTA ndo iko responsible na kutoa post ni nan? 3. We kukaa miezi sita tu hyo ushalalamika wakati unakula bure na kulala bure kwa wazazi wako, unafkr ww ni bora kuliko walim...
  5. B

    UDOM bhanaa..!!

    Wahadhiri katika chuo kikuu cha Dodoma wagoma kutoa na kusimamia mitihani wakishinikiza kulipwa pesa zao wanazo kidai chuo,na hivo kusababisha kutofanyika kabisa kwa mitihani katika college ya Humanities na social science!
  6. B

    UDOM-COED! Kilio ni maji maji maji

    Kijana "don't do things by assumptions" kwanza we unaishi block gan hlo liclo na maji?
  7. B

    UDOM-COED! Kilio ni maji maji maji

    Hebu wakati mwngne uwe unajarb kutumia akili,japo hyo kidogo uliyonayo. Hao wakuu wa udom wanaopitia humu unaotaka watatue tatzo lako kwani wapo chuo gan wao? si ni udom hapohapo? kwan hawajaona hlo tatzo? je,kama wameshndwa kulisolve unafkr ukilalamika humu ndo watalisolve? wewe c ajabu hata...
  8. B

    Tunajiungaje na Ualimu ngazi ya cheti?

    Kwan umepata div ngapi ndugu, mbona majotro?
  9. B

    Tunajiungaje na Ualimu ngazi ya cheti?

    Kwani moevt washatoa ufafanuzi kuhusu points zinazo ruhusu ku-apply chuo cha ualim?
  10. B

    Je wajua kwa nini wanawake wengi awapendi kutumia condom

    Mkuu kinachoonekana hapa kila mtu anakubali kutumia au kutotumia ndom kwa interest zake binafc but sio kwamba zna madhara,ndo mana kila mtu anakuja na vijisababu vyake binafc mara znawasha,mara znaleta cancer,mara zinaumiza tumbo la chini n.k ilimradi tu ku-justfy interest zake!!
  11. B

    Thaqaafa Secondary; Imepatwa na nini mbona mambo hovyo?

    Mzee wa "wewe go down" da! noma thana huyo mjaluo.
  12. B

    Thaqaafa Secondary; Imepatwa na nini mbona mambo hovyo?

    Mkuu mi mwenyewe ni product ya pale kama miaka 2 iliyopita na tuliacha hyo shule ikiwa katika mazngra mazuri kabsa.Kinacho i-cost hii shule ni timuatimua ya walimu utafkr makocha wa vilabu vya mpira, bila kuzngatia umuhimu wao na hata uwezo wao.As a result of this, walimu wengi wazuri...
  13. B

    Thaqaafa Secondary; Imepatwa na nini mbona mambo hovyo?

    Mkuu inamaana hata hilo jina la shule hujaelewa nilamlengo gan?
  14. B

    Nilikuwa nasikia sasa nimekutana nayo

    Kwanza kabsa nikupe pole mkuu kwa kipnd hcho cha mpito unacho pitia.kama unaona huyo demu hayuko tayar kuwa na ww then why cant u just let it go!? i know how u feel coz namm ni muhanga wa hizi mambo bt, hebu assume kama hukuwahi kukutana na huyo dogo and move on bhana, kuliko kuzd kuonekana...
  15. B

    Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

    Da! bac mi nawatamani hao raia kinoma,nmechoshwa na wasukuma full kugongana tarehe.
Back
Top Bottom