Recent content by Brother HD

  1. Brother HD

    Mnaosubiri Iran ya kiislam ianguke mtasubiri sana!!

    Sawa ngoja tuone mnaishia wapi
  2. Brother HD

    Mnaosubiri Iran ya kiislam ianguke mtasubiri sana!!

    Wenyewe tu hawaelewani halafu wanategemea sisi tutawaelewa
  3. Brother HD

    Mnaosubiri Iran ya kiislam ianguke mtasubiri sana!!

    😅😅 isianguke tu ili iendelee kufunzwa
  4. Brother HD

    Vijana muwe waaminifu mtakuja kuwaua baba zenu gafla

    Hata kama thamani ingekuwa bilioni hatakiwi kumkataa mtoto wake.
  5. Brother HD

    Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

    Unahitaji mtaalamu wa kukusaidia kuandaa BOQ or material schedule ambayo itakusaidia kufanya ujenzi wako kwa ubora na kwa gharama nafuu.
  6. Brother HD

    2026! Mambo muhimu ya kuzingatia kiuchumi kabla ya kuanza ujenzi

    Well done! Umeiweka ki QS zaidi. Lakini pia itahitajika watalaam (Engineers or architects) wa kukusaidia ku accomplish ujenzi kwa namna invyotakiwa
  7. Brother HD

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    Kuna engineer ambaye hajapita chuo mkuu? Achana na mtu ku apply science ku solve problem, hao wapo weng na ni vzr.
  8. Brother HD

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    Nilisha lijibia hilo, na nikaeleza utofauti wake vzr. Sio kwamba sijui mkuu[emoji28]
  9. Brother HD

    Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

    [emoji28][emoji28][emoji23] sawa, lkn kuna mwana jukwaa mmoja kasema mnaweza mkawa vema kwenye theories na sio practicals, lina ukweli hili??
Back
Top Bottom