Recent content by BROEDASS

  1. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa kujitolea kufundisha somo la Kiingereza

    Kwa hiyo laki na nusu anunue mahitaji muhimu apate nyumba ya kupanga nk mmepigaje hiyo hesabu?hebu muogopeni Mungu jamani!
  2. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Kwa ushauri kozi kani ambazo anaweza kuchukua kutokana na masomo hayo ambazo hazina ushindani!
  3. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Matusi ya nn inamaana wew hujawahi kufeli kwa chochote?huu sio uungwana kama hujisikii kumsaidia mtu kwa mawazo bora unyamaze watu tumeumbwa kutegemeana kama wew umeumbwa kujua kila kitu wengine hatufahamu vitu vyote!ubinadamu hauko hivyo ndugu!
  4. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Mdogo wangu ana matokeo haya anaweza kwenda chuo kikuu naomba maoni na ushauri wenu wapendwa! GS F History F Geography E Kiswahili ,C
  5. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

    Niko Nzega mkoani Tabora!
  6. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

    Mtoto ana matatizo mengi hilo ni moja usipojali ntakujuza ndugu ila nimependa udhauri na kujali kwako Mungu akubariki sana!
  7. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

    Maeneo ninapoishi hakuna hiyo shule ndugu na hata ghalama za kumpeleka kwenye hizo shule za mbali siwezi kuzimudu ndomana nikaomba mwongozo ikibidi nijifunze mwenyewe hata nikipata video za kufundisha hiyo lugha naimani nitaelewa na nitajitahidi nimfunishe mwanangu hivyo hivyo taratibu!
  8. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

    Asante kwa ushauri mpendwa!siwezi kumficha maana nampenda na ana haki zote kama binadamu ana umri wa miaka 6 sasa
  9. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

    Wapendwa wana jamii forum ninapenda sana kujifunza lugha ya ishara nina mtoto pia ambaye anashida ya kuongea hivyo naomba kwa yeyote mwenye uelewa wa lugha hii anipe mwongozo ili mm na mwanangu tuweze kujifunza lugha ya ishara ili mimi niweze kuwa msaada kwake na kwa wengine wenye tatizo kama...
  10. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanafunzi wanaosama vyuo vya ualimu TTC

    Mimi niko hapa
  11. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

    Kama kweli simu ya Roma inapatikana kwa nini Serikali isiwatumie TCRA na polisi kuitafuta sehemu inapo patikana?
  12. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

    @moni_centrozone
  13. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya chuo cha ualimu Singida

    hii inaweza kukusaidia
  14. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa vyuo vya ualimu

    S0450/032/2006 NIMETUMA NDUGU
  15. BROEDASS

    JamiiForums Tanzania Tafadhali msaada wa kutatua tatizo hili

    ASANTE NGOJA TUFANYE HIVYO THEN NTAKUPA FEEDBACK NDUGU
Back
Top Bottom