Anahitajika mwalimu wa kujitolea kufundisha somo la Kiingereza

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
344
225
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB: Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
 
Eliclassic

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
3,482
2,000
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB. Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
kweli fani ya ualimu imedharaulika sana!!!
 
Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,611
2,000
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB. Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
Kwa nini mnataka jinsia ya KE tu?
Naona kama mnacheza kwenye mstari mwembamba sana kuelekea kwenye ubaguzi wa kijinsia katika uajiri wenu?
 
BROEDASS

Member
Sep 25, 2012
31
95
Kwa hiyo laki na nusu anunue mahitaji muhimu apate nyumba ya kupanga nk mmepigaje hiyo hesabu?hebu muogopeni Mungu jamani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom