Natafuta wanafunzi wanaosama vyuo vya ualimu TTC

Natafuta wanafunzi wanaosama vyuo vya ualimu TTC

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Jamani habari za humu ndani natafuta wanafunzi wa vyuo vya ualimu TTC, tushee material 0758-494651
 
Hehehe mshee material, kwani mkuu uliosoma nao na unaofundisha nao material yao ni weak ee!??
 
Nini mnataka? Ombeni kwani si lazima hao wa Vyuo vya kati waje humu. Ulizia kama kuna mtu anayo akupatie
 
Back
Top Bottom