Recent content by bro kay

  1. bro kay

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi ME kuzaliwa 16/06 herufi ya mwanzo K Yeye KE Kuzaliwa 25/08 herufi ya mwanzo K Tupo kwenye Mahusiano.
  2. bro kay

    Kwa aliye pitia foundation program katoka chuo kikuu huria(out)

    Ahsante Erick Martie , kwenda kufanya diploma ya Pharmacy au kufanya Foundation unashauri nini kwa mtizamo wako ?
  3. bro kay

    Kwa aliye pitia foundation program katoka chuo kikuu huria(out)

    Wakuu, habari za uzima. Foundation program ni course ya mwaka mmoja inayofundishwa katika chuo kikuu huria ikiwa na kama daraja kwa wahitimu(form four, form six au colleges )wanaotaka kwenda chuo kikuu ila hawajafikisha vigezo. Hivyo kuna vigezo ukifikisha baada ya kumaliza hii foundation...
  4. bro kay

    Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Pole sana Mkuu kwa hayo unayopitia, naona ni jinsi gani inavyokutesa lakini uzuri kutakua tu na suruhisho maana hakumu gumu lisilokuaa na jawabu, vuta subra...ndani ya mda kitambo utapata faraja na aman tele. Muumba mbingu na nchi akufanyie wepesi ndugu yangu.
  5. bro kay

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Mkuu utakua poa, mdogo angu alikua Na Huo ugonjwa ila yeye Hivyo vipele vilikua kwene korodani, alitumia dawa ya kupaka ya tube kwa week mbili akapona kabisa, hivyo utakua sawa Mkuu usiwaze.
  6. bro kay

    Ukweli kuhusu dunia (earth)

    Huyu Jamaa anajua hatari, ni product ya Mzumbe olevel.....nmesoma ane advance Mbeya na Chuo UDSM
  7. bro kay

    Graduate ninayefanya kazi ya Ulinzi, niulize chochote kuhusu sekta hii

    Big up Mkuu, Kuna jamaa namfahamu alimaliza St Joseph class of 2017....alipomaliza nae akaenda jiunga KK Security kafanya kazi miezi miwili tu kupitia pale kapata kazi ya profession yake na anaondoka na 800K take home. Hiyo ni njia tu Mkuu.....huna miaka mingi hapo utapata connection ya kazi...
  8. bro kay

    Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    823Kj bila shaka utakua unamfahamu afande Bakari
  9. bro kay

    Tanzania one

    Rodrick John Kayombo nmesoma nae UDSM Computer science class of 2016...jamaa alikua anajua sana. Yupo KPMG asa hivi
  10. bro kay

    Ni jambo gani huwezi kulisahau katika maisha yako?

    Rafiki ako alikufa moja kwa moja?? Ulimuacha peke ake???
  11. bro kay

    Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Monalisa na Da Vinci Code

    Mkuu the Bold, have You looked into that??
  12. bro kay

    Simulizi za the Bold

    Subscribed
Back
Top Bottom