Jirani yangu anayo aliinunua kwa mbwembwe sahiv imelala juu ya mawe zaidi ya mwaka mafundi wanafungua engine kila kukicha ikitembea ni siku moja inalala tena jamaa anatembea kwa miguu tu sasa na aliiagiza mwenyewe from Japan
Hii ndio changamoto ya nchi TRA inapaswa kuwa na wigo mpana wa kuchunguza vyombo vya usafiri hata kadi unaweza iba ukatengeneza mkataba feki ukapewa kadi mpya yenye jina lako. Middleman anaweza kuwa hajui chochote ila atasaidia kumpata mhusika kama wana mawasiliano! Tofauti na hapo angalieni...
RRONDO nisaidie best yangu kupata hiyo threat uliyoandika kama ulivyoeleza hadi bei ya filter au unitag niweze kuisoma msaada wako ni mkubwa sana kwangu!:confused2:
Safi sana Mshana kwa huu uzi! Naombeni ushauri nataka kununua BMW 3 series ya mwaka 2000! naombeni ushauri wa kitaalam uimara wake na engine ipi nzuri ya hiyo gari maana nimepitia showroom mbalimbali nimeona zinatofautiana engine! Spear zake pia vipi hapa bongo? Ubaya wa hizo gari pia ukoje...
kuna mtu anaitwa Ndesika duh utafikiri soldier au mwalimu mkuu wa shule ya Tandahimba huko yuko serious!! Ch. 10, ITV na star tv wako vzr! Hawaoni kwa nini watu wanapenda kumuangalia Salim Kikeke?! Yuko flexible anakusomea habari kama hadithi flani hautachoka kufuatilia au kama vile uko nae...
Ya kaisari mpe Kaisari na ya MUNGU mpe MUNGU! Huwezi kumjaribu BWANA MUNGU wako! MUNGU alimtoa YESU auwawe kwa ajili yetu, MUNGU pia alileta gharika na kuteketeza kizazi chote na kumuacha NUHU na wanyama aliowateua, Mungu pia anasema kila roho itaonja mauti ili ifike kwake.
Haina maana kuwa...
Ya kaisari mpe Kaisari na ya MUNGU mpe MUNGU! Huwezi kumjaribu BWANA MUNGU wako! MUNGU alimtoa YESU auawawe kwa ajili yetu, MUNGU pia alileta gharika na kuteketeza kizazi chote na kumuacha NUHU na wanyama aliowateua, Mungu pia anasema kila roho itaonja mauti ili ifike kwake. Haina maana kuwa...
Ndugu zangu wanajf,
Shirika la ndege Tanzania (ATC) lipo jamani au lah mbona liko kimya? Hii nchi imelogwa au? Wenzetu Kenya wanachangamkia jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) sisi vipi mbona serikali imelala haitoi hata muongozo kwa wananchi wake inabaki kuimba tu wimbo wa jumuiya hiyo kwenye...
Hizo noti wanaandaa dili lingine la uchakachuaji!!! Kwanza too many colors mpaka zinaboa!!! Hawaoni hela za wenzetu kama US dolllar? iko simple haizidi rangi mbili then ni durable!! Inaudhi hawa wanaojidai wataalam wa kudesign sijui tunawatoa wapi?. Hii nchi inachezewa sana mtatua kwa presha!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.