Watanzania tunaingizwa kwenye mkenge mwingine wa eac!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunaingizwa kwenye mkenge mwingine wa eac!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BRO EDDY, Jan 24, 2011.

 1. BRO EDDY

  BRO EDDY Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Ndugu zangu wanajf,

  Shirika la ndege Tanzania (ATC) lipo jamani au lah mbona liko kimya? Hii nchi imelogwa au? Wenzetu Kenya wanachangamkia jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) sisi vipi mbona serikali imelala haitoi hata muongozo kwa wananchi wake inabaki kuimba tu wimbo wa jumuiya hiyo kwenye vikao?

  Wenzetu nchi jirani ya Kenya tayari wameleta mashirika yao mawili ya ndege JETLINK na FLY 540 ambayo imeanzisha route mpya za hapa nchini achilia mbali route zao za Nairobi to dar es salaam, Mwanza and Zanzibar.

  Mashirika yetu yameshindikana hapa nchini ATC nayo ndio hoi, nayo itawekeza Kenya au?

  Hatari ninayoiona Tanzania itamezwa na Kenya na hata nchi zingine zilizopo kwenye jumuiya hii, hali itakayopelekea tusifaidike kwa lolote bali nchi hizo zikawa zinafaidi na sisi tukawa wateja wao wakubwa kwenye bidhaa na huduma mbalimbali wanazozalisha.

  Naomba kuwakilisha:nono:
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,507
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  yan hata muongozo ukiletwa na hawa mafisadi wetu, utaletwa ambao ushachakachuliwa kwa ajili ya kujinufaisha wenyewe! Yan hichi kikundi kidogo kinachotuongoza hapa Tz, kama hakitashikishwa adhabu hatutatoka kwenye mfumo huu wa CHUKUA CHAKO MAPEMA (a.k.a CCM)
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Mchana anatumia hii usiku ni MSOGA AIRWAYS nasikia hawa wana ndege asilia zaidi ya alfu.
   
Loading...