Recent content by briz

  1. briz

    Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

    Hii pekee haitoshi kuthibitisha kwamba we ni mnato labda una tatizo la kuchelewa kuwa wet
  2. briz

    Ni kama "brand" ya TBC imebomoka, nini kifanyike kuijenga?!

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  3. briz

    Kwanini watu wa Arusha, Njombe, Iringa na Kilimanjaro wanafanikiwa sana kibiashara?

    Greedy for money! Ndo mana mchaga yupo radhi afanye hata kazi ya kuzibua chemba za mav* kwa ujira wa milioni tatu kwa mwezi afu wakati huo huo mhaya yupo tayari kulipwa hata laki tatu kwa mwezi ili mradi tu aitwe general manager
  4. briz

    Makapuku Forum

    Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana Am really missing you fellaz.. QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123...
  5. briz

    Makapuku Forum

    Nipo kaka, kwema?
  6. briz

    Ajali Mikese. Basi la Kimbinyiko na gari ndogo yagongana uso kwa uso

    Mkuu smartphone yako haina camera? Uzi unakosa mvuto
  7. briz

    Makapuku Forum

    Haha mkuu ulikua upande wa TB Joshua?
  8. briz

    Makapuku Forum

    Si uende kwa Mugabe?
  9. briz

    Makapuku Forum

    Sasa kilichokua kinafika kwenye email ni notifications tu ama na post kabisa?
  10. briz

    Makapuku Forum

    Mh hao mods hata ID zao tu sizijui ndo sembuse namba afu email nliyotumiaga jf sijawah hata kuifungua sijui kama bado ina-exist, kwani hilo tatizo la email ni wakati unatimia app tu au hata browser?
  11. briz

    Makapuku Forum

    Kwema mkuu, umeadimika sana
  12. briz

    Makapuku Forum

    Hahahah hapa ni undava tu kwa kwenda mbele.. Lubuva ana uwezo wa kubadili gia angani,nchi ya maajabu hii
  13. briz

    Makapuku Forum

    Duh!! Kwanini??
  14. briz

    Makapuku Forum

    Kwema tu ankali
  15. briz

    Makapuku Forum

    Niajezzz??
Back
Top Bottom