Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,820
- 2,479
Nimekuta ana mbaya sana. Kimbinyiko imeligongana gari ndogo. Gari ndogo imearibika sana na sidhani kama kwenye gari ndogo amepona mtu. Naona makosa ni ya Basi maana kaifuata gari ndogo upande wake.
Mungu awasaidie. Nimeshindwa kupiga picha maana na Mimi nipo kwa bus
Mungu awasaidie. Nimeshindwa kupiga picha maana na Mimi nipo kwa bus
Ni hatari sanaa, inasemekana dereva wa gari ndogo alikuwa anahama barabara hovyo, pia inasemekana alikuwa anayumba sana ,hivyo ilileta tafsiri alikuwa amelelewa kwa mujibu wa mashuhuda.
Picha hizi hapa,ila ya marehemu sikuweza kuipiga picha kwani nafsi yangu hakunituma kufanyaa hivyo.