Recent content by Brine

  1. Brine

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    tunajua kuwa hawapo fair ila wapo makini sana linapokuja swala linalohusu value, huwa wanacheza na mikataba, tulia tutaona mwisho wake.
  2. Brine

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    well said, ndio ukweli huo
  3. Brine

    JamiiForums Tanzania Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    umeongea ukweli kabisa. Tatizo lingine wanaume wengi hawajiamini na hawajui maandiko yanasemaje, kama mwanaume unajiamini kweli huwezi kuogopa kuoa mwanamke kisa elimu yake.
  4. Brine

    JamiiForums Tanzania na nyie poteeni

    Anajiita the greatest
  5. Brine

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Mi hata sijakielewa hiki chuo, wanafunzi tayari wameshaanza kusoma waajiriwa wapya hawajaitwa na haijulikani ni lini wanaita, au kuna mtu ana taarifa mpya?
  6. Brine

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Sitta na tamaa ya uspika

    Tunahitaji fikra mpya si wale wale wa zaman, binadam huwa hatutosheki si angepumzika tu?, we should learn to do some thing once itatosha sana.
  7. Brine

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Safi sana mkuu ngoja niku pm
  8. Brine

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Mi pia nilifanya ila sijaitwa bado na sijuwi kama wameita mkuu
  9. Brine

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Lizabon umepoa sana machachali yameishia wapi au mambo yamekuwa nje ya matarajion? Kwanini hufurahi mmepata ushindi?
  10. Brine

    JamiiForums Tanzania Prado inauzwa

    Ina tatizo gan? Je imewahi kupata ajari?
  11. Brine

    JamiiForums Tanzania Magufuli aonyesha ukakamavu zaidi ya Lowassa

    Hayo si yaneshaisha jaman au?
  12. Brine

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    mkuu huyo mwache kama alivyo kuna sheria za mitandao hachelewi kukuharibia mood
  13. Brine

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyike - Trevo haiponyi Ukimwi

    Pia nimeshangaa sana anatibu ukimwi while dunia inazidi kuangamia kwa huo ugonjwa, si angekuwa anajulikana dunia nzima
  14. Brine

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Interview zinafanyika lini mzee
Back
Top Bottom