Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

mm niliambiwaga..ni fanye presentation... Power point,then niandike story yeyete yenye social dylema ....after ata sikuitwa japo nina 4.4...sijui kwa sababu nimesoma udom??

ukisoma upya ulichoandika utagundua kwamba ni kwa nini hukuchaguliwa ! Hiyo gpa ya 4.4 hai-reflect ulichoandika !
 
Mi hata sijakielewa hiki chuo, wanafunzi tayari wameshaanza kusoma waajiriwa wapya hawajaitwa na haijulikani ni lini wanaita, au kuna mtu ana taarifa mpya?
 
Wadau kuna alie itwa kupewa barua yake ya employment kwa upande wa udbs?
 
hongereni sana wakuu sie Gpa zetu za 2.5 komaeni vyuo.vingi vinatafuta Matutorial Assistant
 
Back
Top Bottom