Magufuli aonyesha ukakamavu zaidi ya Lowassa

Magufuli aonyesha ukakamavu zaidi ya Lowassa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

​
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akikimbia kuonesha ukakamavu kwenda jukwaani kujinadi wakati wa moja ya mikutano yake ya kampemi .​
​
​
 
Nilimuona kwenye TV jana...ana mikwara si mchezo....
Hata kutembea ni kijeshi zaidi...

Atakuwa rais wa aina yake....full burudani hadi raha....hata kama umenuna unacheka tu
 
Hata huyu nae ni mkakamavu
 
Attachments

  • 1444213726563.jpg
    1444213726563.jpg
    49.6 KB · Views: 1,734
Tuanhitaji kiongozi wa nchi siyo mkuu wa kikosi cha jeshi. Push-up zake au kukimbia mchakamchaka hakutatuondolea umasikini watanzania
 
​
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akikimbia kuonesha ukakamavu kwenda jukwaani kujinadi wakati wa moja ya mikutano yake ya kampemi .​
​
​

Mbwembwe hizo tunahitaji sera sio matukio, lowassa yuko vzr
 
Safi sana.

Rais Magufuli yuko ngangali
 
Rais Magufuli matawi ya juu baba ake.

Yuko fiti
 
Back
Top Bottom