Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

Wadau kwa wale walio fanya interview udsm hapo siku chache zilizopita kuna ambae ameitwa?
 
Ndugu wajumbe wa humu ndani naomba kuuliza kama kuna yoyote wa kitivo cha sheria aliyeitwa,maana naona kimya mpaka muda huu wajumbe.
 
Mm niliambiwaga..ni fanye presentation... power point,then niandike story yeyete yenye social dylema ....after ata sikuitwa japo nina 4.4...sijui kwa sababu nimesoma udom??

Hahahahah
 
Nimefanya leo interview yao. Uliyosema ndo nilio kutana nayo. Ilikua interview very interesting, nimepigwa maswali meng sana na panel ya watu takribani 10. Nashukuru mungu nimeweza mudu interview kwa kujibu yalio ulizwa.

Mnanitisha mmmm..... Bwana uwe nami sambamba siku hiyo
 
Mm niliambiwaga..ni fanye presentation... power point,then niandike story yeyete yenye social dylema ....after ata sikuitwa japo nina 4.4...sijui kwa sababu nimesoma udom??

pole bt udom mbona tumetoka majembe ya uhakika tu? Usikate tamaa
 
Back
Top Bottom