Recent content by Brilliant internationary

  1. Brilliant internationary

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Kuna jambo linanichanganya sana hivi. shule ya mjini watoto wanakaa chini unajua ni aibu kubwa? Hiv shule kama mzumbe primary ya zamani shule maarufu watoto wanakaa chini hivi kweli serikari imeshindwa kufanya jambo lolote? Niwapongeze walimu wanavyochapa kazi lakini mazingira ya ujifunzaji ni...
  2. Brilliant internationary

    Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    Wanaotembea na wake za watu. Mwisho wao fumanizi
  3. Brilliant internationary

    Wakulima wa Kahawa mkoani Kagera hawana imani na Wasimamizi wa minada

    Changa moto ni uwazi katika minada hata kama hao KCU na KDCu wakisimamia lakini lazima na wenye Amcos waweze kushiriki
  4. Brilliant internationary

    Wakulima wa Kahawa mkoani Kagera hawana imani na Wasimamizi wa minada

    Tangu msimu wa kahawa ufunguliwe kumekuepo na sintofaha ya bei ya kahawa na matamko mbalimbali ya viongozi Raisi alipokuja Kagera aliagiza bei ya kahawa iwe ya ushinda, mwenye bei kubwa ndo anunue kahawa ya mkulima na Waziri alipokuja akawa ameagiza baada ya mnada ndani ya masaa 24 mkulima...
  5. Brilliant internationary

    Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

    Shetani yuko vitani hakika ukirudi utakufa kabla ya kutubu
  6. Brilliant internationary

    Haki za Watumishi ziheshimiwe

    Habari za jioni, wana JF, Kwanza kabisa nipende kusema mtumishi yoyote siyo mtumwa.....Hivi karibu kumejitokeza viongozi wanaokandamiza haki za watumishi hasa wa serikari mfano kiongozi kusema kundi fulani la watumishi hapaswi kuhamia mjini, labda vijiji nikupokonya haki ya mtumishi hasa wa...
  7. Brilliant internationary

    USHUHUDA: Jinsi betting ilivyonidumbukiza kwenye dimbwi la umasikini na kuwa tegemezi kwa Wadogo zangu

    Nisikilise mdogo wangu tafuta mkoa wenye furusa hasa za kilimo uhamie tafuta mtu wa kubadilishana naye badili laini tafuta mke siyo kimada mke mungu akijali mwalimu mwenzako oa utaona mambo yanabadilika kuhusu kube uza hiyo cm kubwa nunua ndogo jikite kwenye uzalishaji cyo vijiwen utafanikiwa...
  8. Brilliant internationary

    Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

    Negliable Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Brilliant internationary

    Afrika bara la giza, hapa ndipo tuliporogwa tukabaki gizani

    Rasmali bila akili Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Brilliant internationary

    Ni Maswali Gani Serikali Inapata Shida Kuyajibu kwenye Hoja za Tundu Lissu?

    Swali gumu sana ni ziko wapi cctv zilizomulika tukio na je askari wa zamu walikuwa wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Brilliant internationary

    Ziara ya Tundu Lissu iangaliwe kwa jicho la tatu na wapenda amani

    Wewe umebanwa na mavi kanye kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Brilliant internationary

    TTCL WANATUIBIA

    Wewe umetumwa na chadema hahhahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Brilliant internationary

    Zitto: Msajili wa Mahakama Kuu ametukimbia, amefunga ofisi na kwenda kujificha

    Time will tell Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom