Haki za Watumishi ziheshimiwe

Haki za Watumishi ziheshimiwe

Brilliant internationary

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
301
Reaction score
193
Habari za jioni, wana JF,

Kwanza kabisa nipende kusema mtumishi yoyote siyo mtumwa.....Hivi karibu kumejitokeza viongozi wanaokandamiza haki za watumishi hasa wa serikari mfano kiongozi kusema kundi fulani la watumishi hapaswi kuhamia mjini, labda vijiji nikupokonya haki ya mtumishi hasa wa serikari, kwahiyo niombe kiongozi afute ile kauli kwani siyo ya kiungwana hata kidogo.

2. Nipende kushauri afisa elimu mkoa wa lindi hiki wanachofanyiwa walimu siyo cha kiungwana, nikuwapokonya haki zao za kiutumishi mfano mwalimu anafanya kazi kuanzi saa kumi na mbili asubuhi mpaka usiku bila malipo ya ziada, huu siyo uungwana huu, pili makambi bubu haya makambi ni hatari kwa wanafunzi wetu kwani hayana usalama wa kutosha, tatu watoto kutopata muda wa kupumzika unakuta watoto hawapati muda wa kupunzisha akili hata kwa wiki moja ili linasababisha watumishi hasa walimu kuangaika kwa muda mrefu, matokeo yake mkoa unakuwa na nafsi mbaya kitaifa.

Mwisho nipende kuomba viongozi hivi vyeo mlivyo navyo ni vya muda tu msipende kuumiza watumishi wenzenu kisa nyinyi mna madaraka tenda haki na haki ndo inayoinyanyua taifa asante.
 
Mpaka mnyooke kazi mmeomba wenyewe halafu kila mwaka mkoa wa mwisho, mnafundisha nini? Siku ya mshahara wa kwanza kwenye Atm sasa ngoja muone joto ya jiwe. Ingekuwa private usingelalamika
 
Mpaka mnyooke kazi mmeomba wenyewe halafu kila mwaka mkoa wa mwisho, mnafundisha nini? Siku ya mshahara wa kwanza kwenye Atm sasa ngoja muone joto ya jiwe. Ingekuwa private usingelalamika
Endeleeni na ngoma za jadi mtakuwa wa kwanza kitaifa. Elimu sio kukata viuno !!! Ng'ombe akipelekwa machungani, akagoma kula zawadi yake ni kifo !!!
 
katiba inapoheshimiwa kwa asilimia 100 ndivyo na haki za watu zitaheshimiwa 100%
 
Endeleeni na ngoma za jadi mtakuwa wa kwanza kitaifa. Elimu sio kukata viuno !!! Ng'ombe akipelekwa machungani, akagoma kula zawadi yake ni kifo !!!
Mmeshindwa kujisimamia sasa ngoja msimamiwe, mmeshindwa kuandaa mpngokazi wa kufundisha vijana wafaulu sasa hivi ngoja mpangiwe na msimamiwe uekelezaji wake wavivu wakubwa ninyi. Tunawaleta watoto shule mnawaaribia maisha hamfundishi kila siku udhuru mara nauguliwa mara sijui nini , mmegeuka wanaharakati usiku kucha mpo space Twitter sasa ngoja muone cha mtemakuni punda haendi bila ya viboko
 
Kama ulizaa punda utasaidikaje ? Tangu lini punda akajisimamia... Ataenda kipundapunda tu !!! Uzae punda halafu utarajie akae na kutulia mezani... Ndoto hizo !!
 
Kama ulizaa punda utasaidikaje ? Tangu lini punda akajisimamia... Ataenda kipundapunda tu !!! Uzae punda halafu utarajie akae na kutulia mezani... Ndoto hizo !!
Usipige kelele kazi ya ualimu ni ya wito, kama ulikimbilia mkopo wa bodi na hukua na wito sasa hivi utaupata huo wito kwa lazima utake usitake
 
Mpaka mnyooke kazi mmeomba wenyewe halafu kila mwaka mkoa wa mwisho, mnafundisha nini? Siku ya mshahara wa kwanza kwenye Atm sasa ngoja muone joto ya jiwe. Ingekuwa private usingelalamika
Na ndio washirikina wakuu wakati wa uchaguzi kuangusha wapinzani.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na ndio washirikina wakuu wakati wa uchaguzi kuangusha wapinzani.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Na wewe unaleta ugoro gani hapa? Ndio madhara ya kuvuta bhangi kabla ya bsleh ikili inakuwa imeshavurugika tofauti ya ubongo na makamasi hskuna vyote vipo kwenye cerebellum. Unafikiri kila mtu anawaza siasa mbofumbofu? Peleka ujinga wako na upinzani wako sijui unapinga nini
 
Back
Top Bottom