Recent content by brightoni

  1. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani ungechukua nchi hata mara moja tu, taifa hili lingekuwa mbali sana.

    Mbona upinzani haujajinge kiuchumi kiwango cha kuwavutia wadau? Ndani ya miaka ishirini
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM wateka nyara sikukuu ya wafanya kazi duniani MEI MOSI!

    Hvi kibari cha hayo maandamano ya ccm polisi walitowa? Na kama hawakutoa naomba wachukuliwe hatua na mkuu wa polisi mkowa wa kirimanjaro
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Baadhi ya wanasiasa wakistaafu siasa; Taifa litapumua

    Nikinnni hao?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ataendelea kuwa mwanasiasa bora wa upinzani Tanzania

    Amekufa kisiasa hivi Tabora kaifanyia hata cha kijamii kama msomi na mchumi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ataendelea kuwa mwanasiasa bora wa upinzani Tanzania

    Mwanasiasa bora kashindwa kujenga cuf kwa miaka ishirini acheni ushabiki
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

    Toa sababu kwann hawezi kuwa Rais? Au sio laiya?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania watakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli

    Aungwe mkono kwa lipi?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Miili sita kwanza ilizikwa kimyakimya na mwili wa saba nao ukazikwa kwa namna hiyo, kwanini?

    Bukyanagadi ww nafikiri unajua nn maana dhama polisi wanayo dhamana mkuu wa mkowa pia apaswa kuzuungumzia hili hii nchi sio Burundi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange aikacha ACT-wazalendo na kuachana na siasa

    Msomi kama ww utajiondoaje ktk siasa? Au unavuna ulickipanda? Hivi kweli chadema ndugu zako?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa BAVICHA ndio taasisi bora ya vijana nchini.

    Nisawa vijana wa chadema nimakini lakini chama hakina mipango vitega uchumi ningumu kushinda na chama chenye pesa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

    Wengi mjiingiza kwenye jambo msilolijua huyu mb. Kachaguliwa nawatu ww unsema umemchoka ulimchaguwa ww? Bila ushabiki jiepusheni na swala Lema
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Ushauri wangu kwa rais ashuhurikie katiba kwanza ili mambo ya hovyohovyo yashugulikiwe kikatiba bila hivyo hataweza kuinyoosha nchi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa CHADEMA kwenda mbele

    Mbona husemi chama cha mrema dovutwa na Joni cheo?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sumu inayosambaa mitaani dhidi ya Magufuli, Mungu ingilia kati

    Hoja hii ni dhaifu sana msipende kumsemea rais wananchi ndiyo wenye nchi
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

    Zito na kitila walikuwa maafsa wa chadema nilazima mbinu wayakazo tumia hazita kinzana na chadema
Back
Top Bottom