KIGOMA-MANYOVU
Member
- May 3, 2014
- 66
- 33
Najua kuna watu mlijipanga kutuletea rais wa kwnu mlio mtaka nyie, mkasahau kuwa Rais ni Chaguo la M/Mungu kupitia viumbe vyake kama sisi wanaadamu. Chaguo hilo si mwangine ni JPM, na siku zote watu walio zoea dhuruma, huwa hawapendi Rais anae simamia haki na usawa, sasa nyie msio ona mema anayo yafanya JPM, basi mna lenu jambo, Tangu nilipo pata utambuzi wa siasa kwa maana ya kuanza kupiga kura nilikua nikimuomba Mungu ANIJALIE NIPATE Rais mwenye kujiamini, muadilifu, mchapa kazi, anae chukia rushwa, ubaguzi wa aina yoyote, ambae ataimarisha uchumi na chama changu CCM ambapo kwa sasa NCHINI hakuna anae weza onea mtu eti kisa serikali "kaiweka mfukoni" kwahiyo kwa sasa Rais wetu tumuunge mkono ili hata mtoto wa mkulima wa Nkasi, Njombe Bukombe awe na fursa sawa na mtoto wa tajiri. hii ndo Tanzania aliyo tuletea Mh.Pombe. Mungu AMBARIKI RAIS WETU.