Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,986
- 45,897
Kwakweli kuna baadhi ya wanasiasa wanaturudisha nyuma kutokana na kupoteza muda kujadili mambo yao ambayo kwa kiasi kikubwa yamelipatia Taifa hili hasara tu.
Ukijaribu kufuatilia kila jambo ambalo limekua kikwazo kwa namna moja au nyingine wameshiriki.
Naona kwakua tunatumia muda mwingi sana kuwajadili ni bora tu wakastaafu siasa kwa manufaa ya uma ile tuweze kupumua na makando kando yao.
Naamini kabisa pindi wakiamua kwenda kupumzika majumbani mwao, tutawasahau na tutaendelea na kulijenga taifa letu. Naamini kabisa mambo waliyoyafanya pia tutayasahau, na tunaahidi kuwasamehe kabisa, mradi tu wakubali kutupumzisha.
Asanteni wazee wangu.