Recent content by Brightburn

  1. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

    Sasa nimeelewa maana ya jina lako kiongozi
  2. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

    Duh! Mungu akusaidie katika hili umpate baba yako.
  3. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

    Kweli nimeamini huu uwanja wa majadiliano unaaminika hata kuliko taaluma za mabingwa kwenye ofisi zao! Anyways... Testerone ni kama mafua tu kwenye hizo mambo zetu, sasa kwakuwa ukinywa chai ya tangawizi inaishia kutibu mafua kama mafua, cha msingi chemsha maji yawe na moto kiasi kisha...
  4. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Kama hili ndo daraja limejengwa jijini sipati picha huko Kijijini ndani ndani

    Nguzo zake ni imara sana!
  5. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kutembelea budget yangu ni TSH 5M

    Mkuu kwa hiyo bajeti mbona yanapatikana mengit tu, ila muhimu ni kuwa makini maana njiani kuna mambo mengi. Wengi wakishapata baadae wanajikuta wanatembezwa wakiwa wamelala, nadhani tumeelewana.
  6. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Somo zuri sana Mwl. Lakini ungekuta mazingira yanakuwa rafiki kwetu kama vile tunavyotamani mara nyingi, hakika kungekuwa hakuna kijana mwene hali ngumu kimaisha, mazingira ni chachu kubwa mno!
  7. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Pole sana kwa kumpoteza rafiki yako, umenipa majonzi sana kwasababu umenikumbusha nilivyompoteza rafiki yangu mwaka 2010 sababu ya pumu, siwezi sahau hadi siku nitakayoingia kaburini. Turudi kwenye mada; Ndugu yangu, kuna muda ukifikiria sana kuhusu uwepo wa Mungu unaweza jikuta kwenye maumivu...
  8. Brightburn

    JamiiForums Tanzania OFA ya website ya biashara kwa Tsh. 250,000 tu!

    Karibu boss
  9. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Naomba ma-IT wa kibongo wazindue whatsapp na facebook za kibongo

    Dr, vijana ni wengi sana wenye haya mawazo na nasema hivi kwa kujiamini kabisa kwasababu nipo kwenye hii industry ya IT hivyo nakutana na vijana wengi wenye bunifu nyingi sana! Changamoto yao kuu ni CAPITAL, kwasababu huo ndio msingi wa kilakitu kama kupata timu ya kufanya nayo kazi, vitendea...
  10. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Unahitaji website? Pita hapa tafadhali.

    Pata website modern KAMA HII kwaajili ya biashara yako kwa Tsh 500,000 tu! Hii inajumuisha designing & coding, hosting, domain, SEO, business emails & security. Hii ni custom design kwahiyo hata kama una michoro yako mwenyewe hakuna shida tunaicode inatoka kama ilivyo. Pia zingatia kuwa cost...
  11. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Kupata faida ya Tsh 500K kwa mtaji wa Tsh 10M kwenye crypto kwa siku ni VERY POSSIBLE, kwasababu hiyo faida ni 5% tu ya huo mtaji. Mfano; ukifanya futures trading kwa uchambuzi mzuri kwa kutumia leverage ya 5x tu ambayo ni safe, sarafu ikipanda only 1% unapata faida yako ya 5% chap, ila SIO...
  12. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

    Pole boss, tunamshukuru MUNGU tunazidi kukuwa!
  13. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

    Utalipia advance ambayo ni 50%, then kiasi kilichobaki utalipia anytime ila iwe siku moja kabla ya shughuli yako ili ofisi icomfirm na kuandaa vijana wa kuja ukumbini kuscan.
  14. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

    SHukran boss
  15. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

    Sawa boss, shukran
Back
Top Bottom