Recent content by bright mponda

  1. bright mponda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Mm hiyo program ya udukuzi ninaihitaji ili nijifunze ukomavu
  2. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Kitu nilichojifunza katika mkutano wa Rais na Wahariri wa vyombo vya habari

    Huo muswada bora upite tu wamenichefua hao makanjanja Leo
  3. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    Congrt Tanzania gvmt.
  4. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta ni Mgonjwa

    Wabongo hatupendani hata katika kipindi kigumu anachopitia mtu husika? Sasa ww unayemuombea mwenzio njaa utafikisha miaka 100 kwl?. Lakin all in all tembo hata akonde vipi hawezi kuwa sawa na sungura.
  5. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mwalimu Nyerere kujiuzulu ualimu Pugu Sekondari, ili kushiriki siasa

    Respect mkuu uliyepekua.
  6. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Je, Nafasi za kazi zimeshaanza kutolewa?

    Tunaendelea Na kula ugali Kwa maji chumvi hii ni until further notes.
  7. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi sekretarieti ya ajira wametoa

    Hahaaaaaaaaaa
  8. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Salesmen/Ladies Wanahitajika

    Duuuuh....sawa mkuu
  9. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Waraka wa ajira umetoka?

    Watakuwa wamefungua dirisha Kwa lengo la kuchungulia nje na kisha kulifunga tena.
  10. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Waraka wa ajira umetoka?

    Utaua watu humu ndg.
  11. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Ajira za serikalini kwa uhakika zitafunguliwa lini?

    Wangetuandaa kisaikolojia semester ya 1 mwaka wa 3 ingekuwa afadhari
  12. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Internship opportunities at Policy Forum(PF)

    Ngoja tujaribu maana elimu ya kitaa tu ni masters tayar tunasubir desatation tu.
  13. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu sina kazi

    Huuu wimbo wa vijana tujiajiri tujiajiri ifikie mahali tuuimbe tukiwa tunajua hali halisi jamani mtu hana hata mia unamuambia akajiajiri how? Kula shida, kuvaa Na hata kulipa kodi shida sasa anajiajiri vipi huyu? Any way wakati mwingine bc tuwe tunatoa way forward kwamba anajiajiri vp Na sio...
  14. bright mponda

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa tuition std 5 anahitajika

    Sawa sawa maticha tupo wengi sana cha msingi ujira tu ukiwa wa kuridhisha kaz itafanyika
Back
Top Bottom