Miaka mitatu sina kazi

Miaka mitatu sina kazi

vijana tufikirire kujiajiri jamani capital ya 1.5m inatosha kuendesha maisha yetu ya kila siku,

Business capital means vifaa + cash. sasa 1.5 nitanunua nini nibaki na working capital! mxxxxu usidanganye watu
 
we kama mie tu,nina advanced diploma ya procurement & supply tangia 2011 no job up to now..
 
Huuu wimbo wa vijana tujiajiri tujiajiri ifikie mahali tuuimbe tukiwa tunajua hali halisi jamani mtu hana hata mia unamuambia akajiajiri how? Kula shida, kuvaa Na hata kulipa kodi shida sasa anajiajiri vipi huyu? Any way wakati mwingine bc tuwe tunatoa way forward kwamba anajiajiri vp Na sio kusema tu vijana rujiajiri Na ifikie mahali ieleweke kuwa sio kila MTU amezaliwa akakuta pesa nyumbani ,kama unawazo Kwa mhitaji au msaada mpe Na sio kuchukulia masihara matatizo ya mtu.
 
Back
Top Bottom