Salesmen/Ladies Wanahitajika

Russian Bear

Member
Aug 26, 2016
8
0
Kampuni ya kusambaza vinywaji vikali (wines & spirits) inahitaji watu wa kufanya mauzo (salesmen/ladies). Wawe na sifa zifuatazo:
  • Cheti cha kidato cha nne au zaidi
  • Umri wa miaka 25 au zaidi
  • Uzoefu wa miaka mitatu katika kufanya mauzo ya mlango kwa mlango (door to door selling)
  • Leseni ya udereva wa kuendesha gari iliyo hai na awe ameendesha gari kwa miaka 2 au zaidi
Wenye uzoefu wa kuuza vileo watafikiriwa zaidi.
Kama una sifa zilizotajwa hapo juu tuma CV yako kwa e-mail kwa: hr.ikoiko@zantel.com

Au PM kwa maelezo zaidi.
 
Duuuuh....sawa mkuu
 
Jamani,nimekosa sifa2 tuu hapo,ila ninaweza Fanya kazi vizuri sana,nina ushawishi mkubwa Wa kufanya kazi na najiamini
 
Kampuni ya kusambaza vinywaji vikali (wines & spirits) inahitaji watu wa kufanya mauzo (salesmen/ladies). Wawe na sifa zifuatazo:
  • Cheti cha kidato cha nne au zaidi
  • Umri wa miaka 25 au zaidi
  • Uzoefu wa miaka mitatu katika kufanya mauzo ya mlango kwa mlango (door to door selling)
  • Leseni ya udereva wa kuendesha gari iliyo hai na awe ameendesha gari kwa miaka 2 au zaidi
Wenye uzoefu wa kuuza vileo watafikiriwa zaidi.
Kama una sifa zilizotajwa hapo juu tuma CV yako kwa e-mail kwa: hr.ikoiko@zantel.com

Au PM kwa maelezo zaidi.
Uzoefu wa kuuza vinywaji ninao. Ila kwenye vyeti hapo pagumu maana sinaga. Na kuhusu udereva ndo kwa kwanza leseni imetoka mwezi uliopita ila gari naendesha vizuri. Manual and auto
 
Tutumie CV yako na nakala ya leseni ya udereva (mbele na nyuma)
 
mimi nina shahada ya computer science, nina lesseni, nahitaji ajira, kama nitaajiriwa kama dereva nitashukuru,

kingine situmii pombe, kwahiyo sitatia hasara
 
Hivyo vigezo yawezekana vikawa vigumu. Awe amemaliza form four, lesen ya udereva na uzoefu wa miaka mitatu!
Nakushauri utofautishe udereva na uzoefu wa mauzo. Wenye uzoefu huo utawapata tu kutoka makampuni ya Pepsi, coca cola, Azam n.k
Na je wanauza kwa jumla au rejareja? Kama ni rejareja basi haihitaji wawe na sifa hizo zote
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom