Recent content by bride

  1. bride

    JamiiForums Tanzania Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

    Mimi nafikiri ni sahihi kusema Tanesco Mikocheni, ndio watu walivyozoea kupaita. Kituo kinaitwa Chama, unapanda mabasi ya kawe. Muhimu utuambie mtu akishuka hapo anaelekea upande gani na hosp inaitwaje. Maana unatuacha tu hewani tukishika hapo hatujui tuelekee wapi.
  2. bride

    JamiiForums Tanzania RV4 J inauzwa

    Hata details walizosema wadau, hapo juu, ya mwaka gani, cc ngapi, odometer, etc. Wakati unaendelea kuhangaika na hyo attachment hizo info pia zinaweza kutupa mwanga
  3. bride

    JamiiForums Tanzania Doto Bulendu ulistahili tuzo

    Duh! Kumbe wewe ni classmate wangu pia. Heko kwa Bulendu nikimkumbuka kipinde kile pale SAUT radio kama meneja wa kituo, alitufunza mengi.
  4. bride

    JamiiForums Tanzania Ramli: Lady Jaydee kuolewa mara ya pili

    Uwiiii! Yaani nimechekaje sasa.
  5. bride

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Yamesemwa na JK, wkt wa mkutano wake na viongozi wa dini na kamati ya amani.
  6. bride

    JamiiForums Tanzania Lebron James amkumbatia mke wa Prince charles avunja protocal za royal

    Afterall Kate was just a commoner aliyekuwa lucky to be married to a royal family ndio maana ana take it easy
  7. bride

    JamiiForums Tanzania Blogger apewa kipondo

    Uwiiii! Nimecheka mpaka basi, watu mna maneno
  8. bride

    JamiiForums Tanzania Regina Mwalekwa au Regina Mziwanda?

    Regina nakumbuka alianzia kazi Radio Tumaini na huko alijulikana kama Regina Nazahed. Baadae alivyoolewa ndio akawa anatumia Regina Mwalekwa na sasa hivi sijajua kimetokea nini nasikia Regina Mziwanda. Sasa sijui la baba ake ni Nazahed au Mziwanda au yote 2.
  9. bride

    JamiiForums Tanzania Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

    Big up Diamond, kila la kheri. heaven on desert its ALAMA and not ARAMA.
  10. bride

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    si mpiga kura wake jamani.
  11. bride

    JamiiForums Tanzania Kilichomuua ‘mtoto wa boksi’ chabainika; wahusika kunyongwa!

    Mchepuko sio dili kabisa, ona inavyomcost sasa. Sheria ichukue mkondo wake.
  12. bride

    JamiiForums Tanzania Picha za demu wa Young Killer akichezea pesa zazua gumzo

    Foolish Age
  13. bride

    JamiiForums Tanzania Samsung GT- ACE 5830i

    Tatizo ni kuwa hausave unaporekodi hizo video hata mimi ilikuwa inanitokea maana nina simu kama yako. Ukiwa unarekodi video ukimaliza unapress stop, pembeni ya ile button ya stop upande wa kushoto kuna button ina square ukipress hiyo button ndio video inakuwa inajisave. Ukiangalia kwenye gallery...
  14. bride

    JamiiForums Tanzania Samsung GT- ACE 5830i

    Hizo video ambazo huzioni kwenye hyo simu ndio hizo unaziona kwenye tab?
  15. bride

    JamiiForums Tanzania Masikini Mrembo huyu awezi Kubeba ujauzito!!

    Pole sana Millen, asikate tamaa suala la ndoa. Msingi wa ndoa ni upendo kati ya wawili, watoto ni zawadi toka kwa Mungu anaweza awape au asiwape. Kama walivyosema wengine kuna option ya kuadopt.
Back
Top Bottom