GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,034
- 126,504
Dotto ni jembe wewee, product ya Mattaba, Dr.Mfumbusa, Late Nkwabi, Mkosamali, Dr.Aidan Msafir .....na wengine wengi sasa angalia hivo vichwa hapo juu vilivyo mpika jamaa, mwenyewe uta bro.
Mkuu Umenifurahisha Hadi Najisikia Sasa Kuwapigia Simu Kuwasalimia Hao Walimu Wangu Tajwa Hapo Juu Kwani Wote GENTAMYCINE Nimepitia Mikononi Mwao Na Namwomba Mwenyezi Mungu Ailaze Pema Na Mahala Peponi Roho Ya Marehemu Nkwabi Ng'wanakilala. Ila Sitakuwa Na Furaha Kama Sitamtaja Pia Na Aliyekuwa VC Wetu Kipindi Hicho Fr.Dr. Charles Kitima Kwani Ni Mweledi Aliyetukuka. Na Walimu Wangu Wengine Wote Wa SAUT Pokeeni Salamu Zangu Za Dhati Na Nawapenda Sana Na Nakipenda Kupita Maelezo Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustine Na Wanafunzi Mliopo Hapo Mmefanya Maamuzi Sahihi Na Mnaotaka Kusoma Sasa Nawashaurini Changamkieni Haraka Na Upesi Fomu Za SAUT Kwani Zinagombaniwa Mno Na Nafasi Zimebaki Chache Sana.