Hii ni biashara ya usaliti, anaouza usaliti analenga wateja waje wasaliti na hao wateja wasaliti wanategemea kuungwa mkono na wapenda usaliti ili waweze kutumia usaliti huo kwa manufaa yao binafsi.
Sasa zao la usaliti huzaa usaliti na usaliti huleta kifo au aibu kubwa.
Kila nwenye akili analijua...
Kukiwa na makosa basi yasemwe lkn tukisimamia ushabiki basi sote tunadidimiza tasnia ya michezo hususani mpira wa miguu kwa kupitia usimba na uyanga.
Mleta mada eneo kubwa kaonesha ushabiki wa klabu yake ya yanga hivyo watu wengine kuona hakuna haja ya kutilia maanani wazo lake.
Kwa kweli kwa...
Kuna watu kadhaa wanasema humu wamejiunga wapige faida wakae pembeni, ata miamba wakisepa na mshiko wao watakuwa hawana hasara..(wamepiga faida)
Nataka niulize kumuunga mtu napo kuna faida kwa mtu aliemleta?
Kwa nini nimeuliza hivyo? Kwa sababu woote waliojiunga huko wako bize kupost na...
Hawa jamaa wanashawishi kinoma noma.
Wakiweka status zao utaona miamala mpaka unasema hawa jamaa wanajenga ghorofa kesho tu.
Lkn kwa namna wanavyokushawishi unagundua hawa jamaa masikini kuliko hata wewe.
Mfano: ulishakutana na wale njemba wa QNET, wanakuonesha mafanikio waliopata kwenye picha...
Nimejaribu kifikiria kwa kawaida nimegundua kuna vitu binadamu hatuko sahihi katika Imani zetu.
Mleta mada ameanza kwa kusema Mungu aliona wapi mfano au alitoa wapi ramani?
Kwangu mimi makosa ya mleta mada ni :-
1. kaiufunga mada yake kwa kuwa kabaki kwenye Imani ya Huyo Mungu na hivyo Mungu...
Maneno yako ya jumla sana.
Lakini upo sahihi kwa uelewa wako, lakini tambua kuna sheria na majukumu juu ya kila mtumishi awe wa Umma au binafsi.
Kwani wewe ulitaka mlinzi wa hospitali atimize vipi majukumu yake kama sio kwa kuwnza kwa kukuhoji?
Hii nchi ngumu sana hasa kuongoza watu wenye akili kama zako watu wasiojali ukweli wanaotafuta sababu ili kutenganisha watu..
Watatumia udini na sababu nyingi kwa manufaa yao kwa ufupi wewe ni mbinafsi usiotaka wengi wawe mbele.
Umejitahidi kuandika japo na wewe unamihemko kama huyo uliesema anamihemko.
Napinga maneno yakobkwenye maandishi haya isipokuwa ya ELIMU BULE PEKEE.
Kuhusu usanii wa neyi wewe mwenyewe umeanza kwa kusema sio msanii lkn baadae ukasema ni msanii, soma maandishi yako mwenyewe.
Kuhusu kutumika na...
Kwamba mpaka awe msemaji na sio mwana habari mwabarishaji ya kinachoendelea?
Hili nj tatizo letu kubwa "ushabiki" kilizwa kwani wewe ni mtu wa huko na unayokea wapi? Ukrein au urusi sijui utajibuje?
Kazi yetu kubwa ni kufanya analysis kulingana na ufuatiaji wetu wa taarifa na sio ukanda wala...
Tafadhari sana Kiongozi kwa heshima ya kutosha nikupayo naomba uwaombe radhi walimu wate wa Tanzania kwa kauli yako hapo juu. binafsi naona umepitiliza sana katika uhuru wako wa kutoa maoni kikatiba lakini pia unajinasibu vipi wewe ni msomi na mwerevu katika mambo mengi kama unamdharau Mwalimu...
Aisee wewe unamjua mtu anaetumia madaraka yake vema kujinufaisha?
Acha bhana huo ujasiri wa kumdogelea aisee
Hebu siku moja jaribu kumfata mtu wa juu yako kumuonya na uone kitakacho kutokea
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.