Ok,kwanza nikupongeze kwa hicho ulichokiibua. Watanzania wengu huruma yetu na misaada ni ya kukopeshana na kuaazimana,
kwani misaada mingi huenda kwa watu ambao wanauwezo wa kurudisha,maslani angalia watu wanapochangia vikao vya harusi,
tafrija nyingine kuliko kusaiadia wahitaji kama vile...