Recent content by BRELA

  1. BRELA

    JamiiForums Tanzania BRELA yatoa notisi ya mwisho ya nia ya kufuta kampuni 5,277 katika daftari la msajili

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) unapenda kuutaarifu umma kuwa Msajili wa Kampuni ametoa Notisi ya Mwisho ya Nia ya Kufuta Kampuni katika Daftari la Msajili, kwa mujibu wa kifungu cha 403(3) cha Sheria ya Kampuni, Sura ya 212. Hatua hii imekuja baada ya Msajili kutoa Notisi mbili...
  2. BRELA

    JamiiForums Tanzania BRELA: Vijana Rasimisheni Vikundi kunufaika na fursa za kiuchumi

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vikundi vyao vya ujasiriamali ili kuongeza uwezo wa kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi, ikiwemo mikopo, zabuni na huduma nyingine zinazolenga...
  3. BRELA

    JamiiForums Tanzania BRELA yasogeza huduma zake kliniki ya Viwanda na Biashara ili kuwasaidia wananchi

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewataka wananchi wa Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara kujitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Ngarenaro, Jijini Arusha, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazotolewa na Wakala huo. Wito huo umetolewa leo tarehe 15 Septemba 2026 wakati...
  4. BRELA

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa dirisha la udahili wa shahada ya uzamili ya miliki ubunifu (MIP)

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inapenda kuutaarifu Umma kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili wa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki Ubunifu (Master of Intellectual Property - MIP) kwa Mwaka wa Masomo 2026/2027. Programu hii...
  5. BRELA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufadhili wa masomo ya shahada ya uzamili ya miliki ubunifu (MIP) kwa mwaka wa masomo 2026/2027

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inautangazia Umma kuhusu fursa tano (5) za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa ajili ya masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki Ubunifu (Master of Intellectual Property – MIP) kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Programu hii ya Shahada ya Uzamili ya...
  6. BRELA

    JamiiForums Tanzania BRELA yasisitiza ulinzi wa Miliki Ubunifu kuinua uchumi wa Vijana kuelekea Dira 2050

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia kikao cha ufuatiliaji na uendelezaji wa bunifu za wabunifu vijana kilichofanyika leo tarehe 27 Agosti 2026 Jijini Dodoma, imesisitiza kuwa ni muhimu kulinda haki za Miliki Ubunifu ili ziendelee kutumika kama nguzo kuu itakayoinua uchumi wa...
  7. BRELA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba Leseni/Cheti cha Usajili wa Kiwanda kwenye mfumo wa BOS

    Habari! na Karibu, Kupitia video hii leo nitakujuza jinsi ya kuomba Leseni/Cheti cha Usajili wa Kiwanda kwenye mfumo wa BOS. Baada ya kuingia kwenye mfumo bofya sehemu iliyoandikwa Industrial Licence na ukurasa ukifunguka utabofya sehemu iliyoandikwa Apply New Licence/Certificate na baada ya...
  8. BRELA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa kampuni kwenye mfumo wa BOS unapotaka kufungua kampuni yako

    Habari! na Karibu, Leo kupitia video hii utajifunza Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa kampuni kwenye mfumo wa BOS unapotaka kufungua kampuni yako. Baada ya kuingia kwenye mfumo utabofya sehemu ya Company Services, ukurasa ukifunguka utapata ordha ya huduma mbalimbali katika moduli ya...
  9. BRELA

    JamiiForums Tanzania BRELA na COSTECH wazindua programu ya InnoIP kuimarisha ulinzi wa miliki bunifu nchini

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) na Buni Innovation Hub, imezindua rasmi Programu ya InnoIP kwa lengo la kuimarisha mfumo wa ubunifu nchini Tanzania. Programu hiyo...
  10. BRELA

    JamiiForums Tanzania Wabunifu wahimizwa kuchangamkia fursa za kiuchumi mkoani Tanga

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wabunifu nchini kusajili kazi zao ili kuzilinda kisheria, Wakala imeeleza kuwa usajili huo utawasaidia wabunifu kuzipa thamani kazi zao na kufungua fursa mpya za kibiashara na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Msajili Msaidizi Mwandamizi...
  11. BRELA

    JamiiForums Tanzania Maafisa Biashara wasisitizwa kuwa wawezeshaji wa biashara kuelekea dira 2050

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa BRELA, Prof. Neema Mori amewasisitiza Maafisa Biashara Nchini kuwa wawezeshaji wa wafanyabiashara badala ya kuwa wadhibiti ili kufanikisha Dira ya Taifa 2050. Profesa Mori ameyasema hayo leo tarehe 18 Agosti 2026 akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya...
  12. BRELA

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira katika Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO)

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (the World Intellectual Property Organization - WIPO) limetangaza nafasi ya kazi ifuatayo:- Nafasi:Mtunza Kumbukumbu Msaidizi (Assistant Archives Officer)...
  13. BRELA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS

    Hujambo! na Karibu, video hii itakufundisha Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS. Baada ya kuingia kwenye mfumo, utabofya sehemu iliyoandikwa Business Names na ukurasa ukifunguka utaona huduma zinapatikana kama vile Bussiness Names – Hapa utaweza...
  14. BRELA

    JamiiForums Tanzania Uwasilishaji wa taarifa ya Mizania ya mwaka na hesabu za Kampuni (Annual returns and Audited Annual Accounts)

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwakumbusha Wamiliki, Wakurugenzi na Makatibu wa Kampuni kuwa huduma ya uwasilishaji wa taarifa ya Mizania ya mwaka na hesabu za Kampuni (Annual returns and Audited Annual Accounts) zinatakiwa kuwasilishwa kwa msajili wa kampuni kama...
  15. BRELA

    JamiiForums Tanzania KERO Responded BRELA na Mfumo wa Beneficial Ownership kutokutoa Control Numbers

    Habari, ni ndani ya siku tatu za kazi.
Back
Top Bottom