Recent content by Bree ven

  1. Bree ven

    Mpenzi aliye "busy" siku zote

    That person does not love you. There's no such a thing as busy for those we love and care and afraid to loose.
  2. Bree ven

    "Hivi kweli unanipenda?" hili swali linakuaga gumu sana kwangu

    Nakushauri umuache mdada wa watu.. Na hata huyo unaemsema sijui mkali mwengine achana nae. Kama unavosema unataka kuoa huyo msichana unaesema ni wa kawaida basi OA sasa achana na uzinzi, it's never too late to stop sinning! Although we are all sinners, ila mie ushauri wangu ndo huo. Eti husemagi...
  3. Bree ven

    Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Pole sana kwa hili. Muache aende, relax wewe sio wa kwanza kuachwa, inauma sana, but with time you will be healed. Itabaki history. Maybe kuna jambo unaepushwa au hakuwa wa kwako utakutanishwa na wa kwako some other times. Every thing happens with reasons, Mungu ana mpango na kila kitu maishani...
  4. Bree ven

    JF: The only place you can meet real beautiful women

    Wow!!!! wow!!!! Wow!!!! I've been touched by this post. Thanks. Now I understand you, you are a real man. Wewe ni mwanaume ndio maana unaelewa uzuri halisi, ila wavulana hawataweza kukuelewa kwa hiki ulichokiandika.
  5. Bree ven

    Msaada wana JF

    Muoe tuu haina, hiyo ya kupigwa mimba tena form 4 isikutie shaka alikua na akili za kitoto na ni mistake ikitokea, unless kama hujampenda maana hii sio issue kama kweli umefall in love kwake.
  6. Bree ven

    Mpende mke wako ila usimweke wazi madili yako yote, ona wangu alivyotaka kunipeleka polisi kunifungisha maisha

    Sijapenda kabisa jaribu lako kwa mwanamke. Umemjaribu sehemu kubwa sana uliamua kuvunja ndoa yako. Kwan hakuna majaribio mengine hadi ya kiukatili? Simlaumu mkeo nimejifunza kua mabadiliko ya tabia ya mwanamke chanzo ni mwanamme
  7. Bree ven

    Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Mungu akujalie hitaji la moyo wako.
  8. Bree ven

    Kama humnyoi mke wako nani anamnyoa?

    [emoji28] [emoji28]
  9. Bree ven

    Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

    Ukizaa uvivu wote utakuisha. We subiri uwe mama[emoji1362]
  10. Bree ven

    Mjadala;kipi bora, kabla ya kuoana rasmi ni bora kufanya mapenzi au ni bora ufanye baada ya ndoa rasmi

    Maandiko matakatifu yanasamaje? Neno la Mungu hua halibadiliki. Imeandikwa usizini ni ktk amri za Mungu. Sio kila kinachofanywa na wengi ni sahihi.
Back
Top Bottom