Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Kama hujawahi kukutana na tango wala huwezi kuona kibamia ni tango. Haya mambo ya kukebehiana yanakuja baada ya kuonja maumbile tofauti.Kulingana na taratibu za kijamii mila na destuli zetu pamoja na dini zote kwa pamoja zinakutana kwenye wazo la vijana wasikutane kimwili kabla ya taratibu rasmi za ndoa kufuatwa,
Lakini kulingana na mabadiliko ya kiutamaduni wa kisasa pamoja na mahitaji ya watu wa enzi hizi, desturi hizo zanaanza kupatwa na chagamoto,mfano.watu kuwa na kibamia hali mtu anataka tango..watu kuwa na maji mengi hali mtu anahitaji kianzi cha wanga yaani kitu kikavu..
Na mabadiliko hayo kwa sasa yamekuwa ni ya kuvumilika au kuvunja ndoa.
Sasa tujadili kuwa,ni bora mjipime kabla kwanza au usubiri ndoa ndio ujue kama ni yule uliyemhitaji au uishi naye kwa kumbumilia?