nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,504
- 8,195
Habari zenu wanajukwaa kwanza naomba kuwashukuru kwa kufungua na kusoma uzi huu.
Hivi ni wangapi wanajiuliza kama ninavyojiuliza mimi kuhusu mapenzi katika kujiuliza huko, nimekuja kugundua kuwa mapenzi ni utoto yaani vitu vya ajabu ajabu ndo mapenzi Ninaposema mapenzi namaanisha raha mapenzi bila raha hayo si mapenzi tena bali ni ushenzi.
Leo ningependa kuongelea suala la kunyoana. Yaani kunyoana kunako naomba niwaulize Hivi ni wangapi kati yenu wanawanyoa wenza wao? Au huwa munawaacha wenza wenu wajinyoe?
Basi naomba niwape siri nzito hakuna utamu kama kumnyoa mke wako hii ni kwa wanaume yaani ukimnyoa mke wako utajisikia raha zaidi ya yeye mwenyewe atakavyojisikia raha Vile unavyompapasa sehemu zake kwa ustadi kabisa ukiwa unatafuta balance ya kumnyoa.
Kama hamuwanyoi wake zenu, jiulizeni ni nani anawanyoa na kama wanajinyoa wenyewe, hakikisheni baada ya kuusoma uzi huu nendeni mkaanze kuwanyoa
Nawatakia siku njema