Recent content by B'REAL

  1. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

    Umeambiwa baloo la belii la viatu unaruka rukaa tu hutoi jibu la bei.....
  2. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Kudanganywa Ajira Mwanza: Natures Way

    Dogo polee,inaonekana we si mtu wa kufanyia jambo research kabla ujafanya maamuzi,fanyaa hivi neenda kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya au mkoaa,then muulezee utasaidiakaa mno saidi mtanda ni msikivu
  3. B'REAL

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

    Hi haina madhara ki afya,gumboot moja kwa siku wanavyaa wangapi....tusije kuambukizana magonjwa
  4. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naanza kupunguza matumizi ya mafuta ofisini kwangu, kwenye msafara wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja

    Kuna mbunge nimeskia ana pendekeza vikao vyinsivyo na msingi vipunguzwee na posho,nikaona si mbaya yukaanza na wabunge wenyewe kupunguza posho zao wao...kupunguza hata asilimia 2 za mshahara wao uweunaingia serekalini kwa ajili ya matumizi ya mafuta ili kupunguza tozo....je watakubali?
  5. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Umasikini unavumilika ukiwa unajitegemea, hakuna umasikini mbaya kama unapokuwa na familia inayokutegemea halafu huna pesa

    Utajiri ni nini?kuwaa na magari,majumbaa,acc isomee kuazia milioni ngapi benk..?tujue hili....je maskini ni nani anae kusa mlo,hana makazi...wala mavazi?kiimani utajiri mkubwa ni afya cha kwanza,chapili mungu kakuumba na viungo vyote,hi ni neema kubwa...tatizo tuna jifananishaa...kuna matajiri...
  6. B'REAL

    JamiiForums Tanzania TRA wanalipaje hiki kitengo

    Kazi ya zakayo...mtoza ushuru,jipange kutembea sana na kujua mitaa,nunua safari boot,cap...kama mweupe jipange kuwaa mweusi kama uko dar....utakuwa unachukua ushuru wa masoko,magari yq mizigo...choo cha hamashauri....kila laherii,jua sio tra
  7. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Banjooo alikuwa bro wa kitaa,mwambaa namkubalii...pale kwao sanawari,njia ya kwenda naboisho ndo maskani....dah sikujua kama kadenjii...sadik mkindi ni shemeji yangu pande mbili,demu alie mnyongaaa alikuwa mtoto wa dingi mkubwaa....mojor makange...alfu kaka angu alimuowa mdogo wake sadiki wa...
  8. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    Mkuu sikujua wee nimuongo hivyo,mi ni mzaliwa wa vudee,njia ya kwenda chomw pale chini zinapo paki kilengaa,kilee chote nikijiji na utawala wa babu yangu.umeongopea watu kuhusu ngoma ya mbungwa....nikiwa kijana mdogo tumeuzuria sanaa hizo ngomaa,tena na kushiriki kupiga mkindaa kigoma flani...
  9. B'REAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seth Mwabe akamatwa kwa kosa la kudukua mfumo wa kampuni ya kubashiri (betting)

    Tubadilishane na daimond....watupee huyo kijana
  10. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Ni kumshirikisha mwenyezi mungu na kitu chochote,mfano kuomba kupitia makaburi ya mababu zetu,kuomba kupitia miti,kuomba kitu kwa mungu kupitia kitu kingine,kiumbe kingine.ni kumshirikisha mungu
  11. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Kujivunia Ubaya Unaowatendea Wengine Mwisho Wake Ni Fedheha Na Aibu Kwako

    Simuachii munguu.....dawa ya kiburi ni nyeuriii...over
  12. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Kama unajua ulitumia hivi vibatari punguza kula sukari na mafuta

    Kwa bibi yangu kulee vudeee msangaa,tulikua tunaita vijariii avyaeee
  13. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

    Mwengeee ni umalaya na ulevi tu unapo lala,nakumbukaa mwaka jana linilikua mwanza...ukalala centre buhongwa shuleni
  14. B'REAL

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meru, Arusha: Kuna Mwalimu ni mvuta bangi na anauzia wanafunzi Bangi

    Chuki binafsi wee mmeruuuu...ndefoooo shureeee
Back
Top Bottom