Recent content by brazuka

  1. B

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    Sema round zikizid huyu jamaa anaweza msumbua AJ. Team AJ
  2. B

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    Ndio wapo ulingoni soon shughul inaanza
  3. B

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    Mi stream live Massa mawili sasa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    Kumekucha huku tayari
  5. B

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs. Joseph Parker 31/03/2018 [Special Thread]

    Mimi ni team AJ kama nlivokuwa team Tyson miaka ya 90's. Naona fight kuwa ngumu coz nmechek fight nying za parker ni mtu hatari.!! AJ akipigwa pasaka yangu itaharibika aisee. Kwa wadau wa masumbwi unaeza stream www.mamahd.com fight zimeanza za awali 9:30 it seem ndo fight yenyewe
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi ya kubandika insurance/ vehicle inspection sticker katika gari

    Kabla road license haijaingizwa kwenye mafuta ilikuwa ulikata mile cheti chiti kuna Maelezo ya utaratibu na kanuni za ubandikaji road licence kwamba itabandikwa KUSHOTO
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

    Ni hatari sana kuweka N gear kwenye mwendo kwanza inapunguza differential ya matairi ( mzunguko) hivyo gari hukosa uwiano. Pili ukiweka N from D gari ikiwa imechanganya unapunguza gear compression ratio kwenye gear box so kufanya Mara nyingi unapunguza life span ya gear box
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

    Mkuu kwa gari automatic za kisasa gari ikishakuwa kuwa mwendo wa kwenda Mbele ukiweka gear ya parking au reverse kamwe haiwez kuengauge. Utaskia tuu mlio kwamba disc lock zinatema tuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nauza Hisense smart tv inch 43 sh.950,000
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu na wahindi wanawahi kufika kileleni kuliko waafrika?

    Mkuu hongera kwa uwakilishi kimataifa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

    "Kizazi cha sasa kinapaswa kifahamu kwamba kuwa na gari sio mafanikio au utajiri na kutembea kwa miguu sio umaskini" Nelson Mandela
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nampenda mtangazaji wa ITV Juleth Robart

    Mbona umekopi post ya cetterhutter ya September 6 2017 Au ndo umekuja na ID nyingine kuchek upepo...ha haaaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City

    Mkuu nisaidie kama kuna link yoyote inaongelea hizi terms za mitaji ya investment..minimum & maximun
  14. B

    JamiiForums Tanzania Earphones Original - Mziki Mnene

    Wamekusoma mkuu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Nmekujib mkuu
Back
Top Bottom