Recent content by braza_ambro

  1. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa vyuo vya Bongo lecture zote hutumia Kiswahili kwa 90%, mtihani wanatunga kwa Kiingereza tena cha misamiati mikali

    mkuu katika kuelezea jambo wahadhiri wengi hupenda kutumia kugha ya nyumbani ili kukupa uwanja mpana wa kuelewa. Sasa kazi yako si ku convert ktk ligha. Kama umeelimishwa vya kutosha utashindwa vipi kuandika ktk mtihani. Tunafundishwa knowledge na sio lugha mkuu huko tuna imani ushaijua
  2. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuondoa hii message kwenye desktop au pc?

    Hiyo operating system inahitaji licence key, kwakuwa wengi hatuna inabidi upate software ya kuihusisha au kwa maarufu kama activator
  3. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

    Unataka achukue uhamisho ni ngumu sana walau vumilieni hata miaka miwili ndipo mchukue uhamisho
  4. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Unamnyanyasaje dada wa kazi kama wewe sio chizi

    Vizuri sana, maana wewe unalielewa hili.
  5. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya wanawake ni rahisi kiasi hiki?

    Teh teh teh teh kwahiyo kabakiwa na nyota ngapi?
  6. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Jamaa niliyekuibia mpenzi wako jifunze, mwanamke mzuri hafokewi

    Kwahiyo ukajiona mjanja, huyo kajiongelesha ili akuvute wewe.
  7. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Nahisi House girl (mdada wa kazi) wangu Ni HIV +

    Chukueni tahadhari dhidi ya ukaribu na watoto wenu na yeye, maana ukaribu huo unaweza kupelekea hatari ya kupeana vitu vyenye ncha kali ambavyo wote wakatumia. Pia hakikisha anatumia dawa zake japo usimwambie ukweli. Lakini pia ni vzr kuwauliza huko ulikomtoa kama walimwambia huyo mdada kuhusu...
  8. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko kwenye ndoa tu (kama hujaoa usifungue)

    Fatilia na ujue mahitaji yote ya familia yako sio hadi uambiwe, andika ktk kitabu cha kumbukumbu 'note book'. Weka mpango wa mwezi mzima na tumia mfumo wa kununua vitu vya jumla ili ikupe nafasi ya kufanya mambo mengine
  9. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Ipo Mwanza Buswelu, ina chumba cha master kimoja, vyumba viwili vya kulala vya kawaida, choo cha ndani(public toilet), sebule, stoo, jiko, kibaraza. pia ina eneo la kutosha ambalo laweza kufaa kwa shughuli kama egesho la magari, ufugaji hata ujenzi. KIASI: milioni 30 (maelewano yanaruhusiwa)...
  10. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa marafiki zangu, huishia kuwa wapenzi wangu.

    ushauri wape tu mkuu ila uonapo wanaelekea huko tafuta namna ya kujiepusha nao maana mwishowe utagombana na rafiki zako wote
  11. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Namtamani binti yangu wa kazi

    ni jambo la heri kabisa kumuoa, cha msingi fata taratibu zootee ufunge nae ndoa kabisa... ... best wishes
  12. braza_ambro

    JamiiForums Tanzania Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

    aiseeeh shida
Back
Top Bottom