Bila shaka wewe unakunywa pombe kali tena kwa wingi! Hili tatizo liliniikuta ila nashukuru niliweza kumalizana nalo!! Usiache pombe moja kwa moja punguza, jitahidi labda unywe wakati unalala. Jitahidi kunyywa maji mengi, vitamins nyingi, ukiweza fanya na mazoezi ili kuufanya mwili uchoke kidogo...
Ndo maana nikamwambia kupona pia kunaenda sambamba na "imani". Na nikasema sijajua kwanini yeye kaona heri aende Mlohanzila. Ni kweli Muhimbili kuna ukaribu zaidi. Na nafikiri kunafikika kiurahisi zaidi tofauti na Mloganzila. Kuhusu Rufaa aombe tu watamuandikia kwa vile amekaa muda mrefu na...
Waombe tu wakuandikie Rufaa. Kupona pia kunaendana na imani kama una imani na Mloganzila. Ila sijajua umetumia vigezo gani kuona panakufaa na si hospital zingine. Zungumza na Doctor atakuandikia tu rufaa haina hata mambo mengi wala. Kama unauwezo unaweza lipia hata ambulance ama tafuta usafiri...
Inabidi ujiulize kama ungekuwa haupo angeenda ama asingeenda? Na je ni mara ya kwanza kuitwa ama wameshawahi kuitana before? cha mwisho mkanye mkeo asiwe na mazoea yakijinga na majirani!
Angalia pia na mavazi unayovaa pia jitahidi kuangalia muonekano wako kama namna ya unyoaji nywele na vingine!!! Asingeweza kukuita sister tu from nowhere.
Ulichosema baadhi ya watu wanaona kama masihara ila uko sahihi kabisa! Pia nyama huwa inapoteza ladha tofauti na mnyama anayechinjwa kistaarabu na kwa kufuata taratibu!!
Nakubaliana na wewe kabisa!!! Na hiki kitu nimeanza kukiishi kwa sasà na ninaona matokeo yake!!! Ilifika sehemu dharau zikawa nyingi. Kuna mtu anakudharau hajui hata value yako kisa anaona uko available sana sehemu fulani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.