Recent content by Brave man

  1. B

    Jamani nahitaji msaada wa haraka ng'ombe wangu anaangamia!!

    pole sana mkuu: Kuna vitu vingi sana tungependa kukuiliza hapa kabla ya kukushauri cha kufanya. Ni inbox nikutumie namba yangu ya simu or whatsup au skype ID nikushauri vizuri Zaidi if you are real serious. Au weka namba yako ya simu nikupigie. Asante sana. Pole sana
  2. B

    Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

    Nampenda Makonda huyu jamaa ni mbunifu. Ni halali kuiongoza Dar anatumia akili sana.
  3. B

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Ni kweli hebu tujitie moyo tuwe tu wajasiri bila kuogopa ila Sasa; Mzalendo mwenzangu ukiwa mjinga kwa kutenegeneza matatizo mwenyewe kisha unaamka siku moja kana kwamba siyo wewe , lazima uwe mnyonge tu ujasiri unautoa wapi? Sasa kila chama kinaposhika madaraka wajitathmini ktk maamuzi yao...
  4. B

    Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?

    mbona jibu kama lilikuwa jepesi tu si ni zile NDIYOOOOOOOOOOOOO! za upande ule
  5. B

    Mzalendo Tundu Lissu

    Hivi umeelewa maana Uzalendo? Nani kakosa uzalendo; CCM au LISU?
  6. B

    Mzalendo Tundu Lissu

    Yes nimekupata mkuu...
  7. B

    Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    Mzee Mwanakijiji, umeogea vema kama hekima hii wataifanyia kazi itakuwa vizuri.
  8. B

    Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Friends don't be surprised the origin of this thread is from Meningitis, I think the meningitis is getting more complicated no wonder..
  9. B

    Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    Mhhhhhh! kinachoniogopesha jinsi ulivyo na ujasiri wa kutumia Neno la Mungu vibaya. Kuwa makini ndugu. Twende na siasa bila kujichanganya na kujificha kwenye Maneno ya Biblia na kuyapindisha kwa maslahi binafsi. Mungu akusaidie na kukurehemu mpendwa.
  10. B

    Ni kweli MCT mlikutana na Kinana mkapewa maelekezo ya namna ya kuandaa Mdahalo?

    Hakukuwa na sababu ya wao kutoa mapendekezo jinsi mdahalo uweje. MCT ni tasisi competent sidhani kama wanahitaji mapendekezo toka kwa washiriki wa mdahalo uweje. Chamsingi washiriki wakae tayari kwa kushiriki mdahalo.
  11. B

    Serikali 2 ni ghali kuliko serikali 3, Ushahidi huu hapa

    Vema, ila naomba tuletee pia gharama za uendeshaji wa serikali za nchi washirika yaani Tanganyika na Zanzibar. tukipata hizo hesabu tutaweza kuamua vizuri. Vinginevyo 2 au 3 ni siasa tu.
  12. B

    Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Pole sana! Kwa bahati mbaya ni wenye njaa ya haki ndiyo huandamana. Walioshiba dhuluma, ujanjaunja hawaandamani wala sijawahi ona wezi, wafisadi, walanjama na wanafiki wakiandamana.
  13. B

    Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

    Ina tisha kwani maprof. wangapi wanaongoza vyama. unaposema akili ndogo how ndogo is ndogo? I am kind of doubting your understanding.
  14. B

    Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Matokeo ya kuwepo kwa vikundi vya ulinzi katka vyama vya siasa ni HATARI SANA kwa mstakabali wa amani na usalama taifa hili. Hatari yake tunaweza jifunza toka uchaguzi wa Igunga hii ni picha ndogo tu nadhani tutegemee makubwa zaidi kama kila chama cha siasa kitakuwa na chombo chake cha ulinzi...
  15. B

    Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    Kwa kweli nyani haoni kundule na mkuki ni mtamu kwa nguruwe ila kwa binadamu ni mchungu naona Tendwa anayajua yote. Afute tu kama kwa busara zake anaona inafaa.
Back
Top Bottom