Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,477
- 34,521
Uzalendo wa Tundu Lisu ni wa kutiliwa mashaka makubwa. Haiingii akilini hayo anayoyasema.
Baada ya kuiponda mikataba ya madini iliyopitishwa na Bunge sambamba na kutaka itenguliwe ama kubatilishwa kwani nchi inaingia hasara ya kuibiwa...
Lakini leo mzalendo huyu anasimama hadharani kuamua kwa dhati kuwatetea wanaoliangamiza Taifa letu. Hii haiba haikuanza leo, angalia anavyosimama na wale wote wanaomtukana ama kumdhalilisha rais, angalia alivyo simama kinyume na kampeni dhidi ya dawa za kulevya na hata leo amesimama kutetea wawekezaji ambao ushahidi kuwa wanatuibia umewekwa hadharani...
Unalipwa Tshs ngapi?
Unalipwa na nani?