Recent content by bramaq

  1. bramaq

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Habari! Sheria ya Ajira na mahusiano kazini imetoa utaratibu wa kushughulikia mgogoro wa uachishwaji kazi. Kimsingi kwa suala la Termination of employment Mfanyakazi anapaswa kuwasilisha mgogoro huo mbele ya Tume ya usuluhishi na Uamuzi ndani ya siku 30 tangu alipoachishwa kazi. Ikitokea...
  2. bramaq

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Breakdown............ Bei ya Mafuta katika vituo vya mafuta ni kati ya shilingi 1,200 kwa jiji la Dar es Salaam na shiling 1,500 kwa mji wa Musoma, Mbunge amekuwa akipata lita moja ya mafuta kwa shilingi 2,500 ikiwa ni shilingi elfu moja juu zaidi kwa gharama ya Musoma ambayo ni mji wenye bei...
  3. bramaq

    Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Habari Tanzania, Je wajua mwasisi na msimamizi wa Ujenzi wa Shule za Kata,Mtekelezaji na Mradi mkubwa wa Maji kutoka ziwa Victoria kwenda, Shinyanga,Tabora, Singida, Alivenjunja Mkataba wa City water Services bila kuogopa chochote,Msimamizi wa mradi Chuo kikuu cha Dodoma,Aliyezuia Uuzwaji wa...
  4. bramaq

    Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    LOWASSA AMEIJENGEA HESHIMA KUBWA CCM KULE MONDULI. ANAWEZA KUFANYA HIVYO KITAIFA PIA! Ushindi wa 100% ambao CCM imepata Halmashauri ya Wilaya ya Monduli ni matokeo ya kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi chini ya usimamizi, ubunifu na mikakati mingi ya Mhe...
  5. bramaq

    CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

    Hongereni CHADEMA.... 2025 nitagombea same mashariki
  6. bramaq

    Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

    only lawyers are the learned creatures in the world... other are just educated.... Am done. #No offence intended...
  7. bramaq

    Uhamiaji koplo na kontebo.

    Watu wanatafuta umaarufu
  8. bramaq

    Justin Bieber - Nini Sasa Hii

    Hahahahhahahaahah kanyaaa uyooooo
Back
Top Bottom