piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
ina maana mkuu Mwampamba ndio nyumba dogo ya muuaji Savimbi
Mambo ya ucameron tena?
ina maana mkuu Mwampamba ndio nyumba dogo ya muuaji Savimbi
Sawa Zakayo mpaka uone ndio usadiki
Wewe ni sawa na yule aliekwnda UK akaanza kushangaa kuona watoto wadogo wanaongea liimgereza, akawasifia wana akili kweli wakati ni lugha yao
Hya, MNO KWELI!
Wewe ni sawa na yule aliekwnda UK akaanza kushangaa kuona watoto wadogo wanaongea liimgereza, akawasifia wana akili kweli wakati ni lugha yao
Hya, MNO KWELI!
May be ckumbuki vizuri mkuu, ni Zakayo au Tomaso?
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.