Tatizo hata waandishi wenyewe ni vilaza wanashindwa kumhoji mambo ya msingi wanabakia wanapelemba tu maneno, kwanini hamhoji yale yaliyomfanya akajiuzuru je leo hayapo?
Kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao siyo kuwatisha kwa vifaa vya kijeshi mabarabarani,, ni muhimu sana tukatambua kuwa amani ni "tunda la haki" siyo kutisha watu simamia haki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.