Rizi ana haki za kikatiba hata kugombe urais ....kama na wewe unaona unaweza kachukue form ugombee hata uwenyekit wa serekal ya mtaa kwa tiket ya chadema kama utapata kura. Tatizo lenu chadema mna shahada za wivu.
Chanel ya Mbc1 imetangaza kuwa imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-
Iraq, Bahrein na Saudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.
Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya.
Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye...
Uchaguzo wa chalinze umekwisha na ridhiwan ametawazwa kuwa mbunge cha ajabu CHADEMA hawataki kusaini form za kukubali.. hivi nyie chadema wivu mtaacha lini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.