Recent content by Boyabone

  1. Boyabone

    Wapenda mabadiliko wote karibuni hapa muonyeshe vitambulisho vyenu kama mimi

    Heeeee, jitahidi uende ukaripoti kwamba kitambulisho chako kimepotea, maana wamekopi wataalamu. Hiyo mbaya usiwashauri watu waweke vitambulisho hapo
  2. Boyabone

    Wapenda mabadiliko wote karibuni hapa muonyeshe vitambulisho vyenu kama mimi

    Usishangae ukikuta kura yako imepigwa. Goooooooooo! Goli la mkono limeshindikana.
  3. Boyabone

    Shikamoo Lowassa

    Huyu mzee amekomaa kisiasa, ametukanwa sanaaaa lkn yeye anamwomba mungu na kuwaomba wananchi wampe ridhaa ya kuiongoza nchi. Mungu wa wananchi wote atatenda. Amen
  4. Boyabone

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Jeshi la ciku hizi jamani ni tofauti na enzi zile.
  5. Boyabone

    Ukitaka kumuuliza mkeo ametoka wapi muda huu unaanzaje?

    Kama mwanamke amechelewa kurudi nyumbani, inawezekana ni mara yake ya kwanza ipo namna ya kumuuliza, sio mbele ya watoto, ni chumbani tena kwa sauti ya upole. Kama ni kawaida yake kuingia saa mbili,tatu hadi nne, inamaana unajua kazi yake na umemzoea huna haja ya kumuuliza
  6. Boyabone

    Nataka kubadilisha signature yangu

    Fika mahakamani apa na ujaze fomu kisha uende benki ukiwa na picha mbili za rangi.
  7. Boyabone

    Ukitaka kumuuliza mkeo ametoka wapi muda huu unaanzaje?

    Ukiwa na mwanamke kama wewe, unaishi kwa raha. Kwanza huna pressure
  8. Boyabone

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kuku kala mchele jioni kaliwa na wali. Hilo ni fuso.
  9. Boyabone

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ninawasihi wanajamii kuacha kutoa lugha za matusi, tushindane kwa hoja. Kwangu mimi navutiwa na kiongozi asiyekuwa na jaziba, asiyelipa ubaya kwa ubaya. Mwenye kuwajali wananchi atakaowaongoza.
  10. Boyabone

    Migogoro ya ardhi

    Migogoro hiyo siku hizi ina mahakama zake. Mabaraza ya ardhi ya kata na mkoani tu baraza la ardhi la rufaa basi.
  11. Boyabone

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Jamani mm sisemi uongo, nimeshuhudia kwa macho yangu dereva wa lori akiuliza " niwarudie wengine? Ili wahudhurie kampeni.
  12. Boyabone

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    Root, kama mwenzio akifanya jambo likafana basi mpongezee. Kwani ukimponda ndo shughuli itabadilika.
  13. Boyabone

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    Jamani, kwani ukisema kulikuwa na mafuriko kuna mtu atakuvamiaaaa? " watu walijaa kwisha"
Back
Top Bottom