Ndugu tujaribu Kuwa tunaweka kumbukumbu zetu VIZURI
Kauli ya Rais Ni mwendelezo wa yanayotokea Pia kwenye vyama vya upinzani
Tujikumbushe wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani Waziri Mkuu alianda futari Kwa wabunge WOTE.Lakini wabunge wa upinzani walisusia kisa Naibu Spika atakuwepo
Je hiyo...
Let's be fair jamaniiiiiii
Mtu unaandika Hata ile kuona games za Ligi ya Belgium hujaona unachoandika ni kuangalia goals score center Kwa Kuwa ume Bet
Samatta ni mchezaji mzuri tumpe sifa zake tuacheni wivu
I phone kitu Nyingine
Huwezi Ku unlock ikiwa imefungwa ktk Apple ID
Unaweza Ku unlock ktk sim kadi kuweza kutumia mtandao mwingine Kama imefungwa Kwa ajili ya mtandao mmoja
SIMBA ni ile ya kina Juma Mzee
Kilomoni
Msomali
Kulikuwa Na Dreva Taxi alikuwa anapark club ya SIMBA pembeni alikuwa anaitwa Mzee Mwinyigumba aka Under line
Hiyo SIMBA Mbwiga hawezi kuijua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.