Recent content by bovan_xpt

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Mkuu mm ni mfugaji wa hao layers..!hakuna mahesabu kama hayo..!hiyo pesa akinunua cage na vifaranga akajenga banda imeisha
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu biashara ya nafaka Dar es Salaam

    Komàa hapo hapo kahama unatoka
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Unaweza nipa mchanganuo wa sasso 1000 kutoka wiki 6-8..!pia naomba kujua unalisha mfuko tu mwanzo mwisho au
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Mkuu uko moro mjini sehemu gani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

    Tunashukuru kwa madini haya bro..!kila siku naendelea kuujaza ubongo wangu vitu vipya kutoka kwenye mada zako..!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wanakohoa na kukoroma, naombeni msaada

    Huo muda mrefu..!ni miezi mingapi..?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Ongeza budget yako vuta klugger..!utanishukuru baadae..!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    Nzuri au uzito=(1.27*1.27)*1.02/400 vipimo ni kwa nchi..!jibu litakuja katika pounds..!then badili pounds(lb)kuwa kg..!1kg=2.202lb
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    Uzi Mhimu sana sanaaaa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mayai ya quail (kwale) - Arusha

    Mtafute chasha huku, anaweza kukusaidia.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bata ni fursa ila nakwama

    Fata ushauri uliopewa na wadau..!bata ni ndege asiepata maradhi hovyo..!hivyo ni rahisi kuwafuga..!hakikisha vifaranga hawaloi kwa namna yeyote ile eidha kwa kunyeshewa au kugusa maji..!pili wape watoto wa bata matunzo kama unavyolea vifaranga vya kuku..!ongezeko la bata ni kwa kuhakikisha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua namna ya kudhibiti wizi wa mifugo shambani

    Watenge kwenye eneo dogo karibu na nyumba ya wafanyakazi..!weka fensi ya waya huku ukijipanga kupanda michongoma katika eneo lako..!inaweza kusaidia kidogo..!pia weka mbwa karibu na eneo ulilowatenga na liwe karibu na nyumba..!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafanya uwekezaji wa Nguruwe

    Nakushauri kupeleka machinjioni..!pia fungua bucha zako pamoja na kushika majiko kwenye baadhi ya baa..!usisubiri kufikisha nguruwe 400 ndio uanze kuuza..!inaweza pita swine ukalia..!tengeneza wazazi uwe unauza kwa groups kila baada ya miezi 2-3 unapeleka nguruwe sokoni
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nafanya uwekezaji wa Nguruwe

    Hapa mkuu tupe ratio..!nyasi kavu au mbichi..?na kiasi gani cha nyasi vs mollases.
  15. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Rungwe nije Morogoro Mjini.
Back
Top Bottom