Recent content by Bova

  1. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

    Madaktari mio wengi kumbe??? Ndo maana mnadundwa, mnavamia sana fani za wenzenu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Siasa zauporomosha mkoa wa Kilimanjaro kibiashara, kilimo na kielimu

    YEHODAYA No Research No Right To Talk. Nahisi nawe ni moja ya mnywa viroba tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususa ziara na vikao

    2010 walidai wakaazi wa Arusha mjini ni wakorofi na wamechagua kiongozi kichaa, Asante sana ni baada ya miaka mitano tumejua ukweli. Kwamba walikataa kuchagua kichaa ndo maana ikawa vile kama ilivyo kwa wakazi wa Dar es Salaam Leo hii. Poleni sana wakaazi wa bandari Salama.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde viongozi wangu nchi isiendeshwe kwa mihemko

    Wanacheza kulingana na mdundo wa ngoma jombaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajitosa kuwatetea Watumishi wa Umma waliofukuzwa

    Kwani cha moto hatukioni?????? We wa wapi aiseee????
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuivunja Halmashauri ya Jiji la Tanga kama mgogoro wa kisiasa ukiendelea

    “Mpaka sasa jiji la Tanga hakuna uongozi uliosimama, sasa hatuwezi kwenda kwa mwendo huu, wananchi wanahitaji maendeleo na kurudia uchaguzi hatuwezi ni gharama kubwa, kilichobaki ni kuivunja halmashauri mpaka hapo muda wa kufanya uchaguzi kwa mujibu wa katiba ya nchi utakapotimia, hivyo kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Nahisi hii fukuza fukuza ya kujionyesha unafanya kazi ndo imepelekea kufanyiwa semina hawa majamaa. Bora ya Lukuvi Baraza Zima la JPM
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

    Mnanikumbusha wimbo mmoja wa Fid Q, unaitwa Ni Propaganda.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

    Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi; 1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Bandari kushuka, wengi sasa kupitia Mombasa

    Mtoa mada katoa yanayomsibu wapayukaji mnapayuka pasipo kujua hoja vizuri. Tumelogwa na nani sisi???
  11. B

    JamiiForums Tanzania CUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka

    Huu nao ni upuuzi usiovumilika kamwe, Magu nae atajitoa katika hili???? Vyanzo vya fujo vinaanza onekana na wao wanakaalia kimya tu. Mazafaaaaaaaaaaaaaaaantaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

    UTAMKOSOA HADI MUNGU MTOA UZI HUKO UNAPOELEKEA.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Waziri – Juma Omari Naibu Waziri Mwita Waitara Wizara ya Mambo ya Ndani Waziri – Godbless Lema Naibu Waziri Masoud Abdalla Hapo wamenifurahisha sana!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mramba na Yona kutumikia kifungo cha nje. Kufanya usafi hospitali ya Palestina, Sinza

    Iba kuku sasa uone....!!!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa na Serikali

    Duh????????? Ama kweli kazi ipo... Ati wanapendelewa???? Moja, Kama ni kweli wanapendelewa, na nadhani si kisiasa tu kama mnavyotaka kutuaminisha wengi wenu humu ndani. La hasha tuanze kujiuliza maswali kwanza, 1. Mlima mrefu kupita wote afrika, wenye kutoa theluji uko wapi??? 2. Na ni kwa...
Back
Top Bottom