Recent content by Botanist

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea na matangazo ya 'Jaza ujazwe' na sasa Clouds FM ya 'Weka usiweke' ya mume na mke

    Gadina kwenye Jahazi kuna siku alisema alikutana na mtoto mkali kwenye ngazi kidogo alikurunze nyeto studio, hatari kweli na anabinti mkubwa tu ana almost 21 years, kama sikosei yupo Ifm, baba lao msikilize Kibonde utahama nchi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waume wa dada zetu(mashemeji) acheni tabia za kuwatolea macho wadogo wa wake zenu(wa kike)

    Huu uzi kama nimeandikiwa Mimi!! Hahaha aiseee
  3. B

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu tunaomba km kuna uwezekano wa soft copy
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Hahahah!! Vipi Mkuu alikufanyia mbwayaeeee, umemsahau kale ka kiingilishi Lissu hahha
  5. B

    JamiiForums Tanzania hii ndio Dar es salaam

    Mkuu issue kubwa ya dar ni kwamba kila mwenye gari anatak lipite njiani! Miundo mbinu inakuwa michache kuliko barabara, mbn nchi za wenzetu kweny viwanda vya magari hakuna foleni? Wamewekeza usafir wa umma, na hapa kwetu wizara ingeamua ilete magar ya umma ya kukidhi mahitaji watu wangetoa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

    Duuh kumbe si mimi mwenyewe????
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwa yeyote anaejua bei ya stone quoted sheets

    Sina uhakika na bei
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwa yeyote anaejua bei ya stone quoted sheets

    Nenda Kahama kwa Ndege Sella mkuu, jamaa ana kiwanda kabisa ila si
Back
Top Bottom