Tamutamusana
Member
- Nov 18, 2016
- 46
- 39
Nipo dar, nahitaji kujua bei ya stone quoted sheets, pia naweza kupata wapi hapa Tanzania
quotedNipo dar, nahitaji kujua bei ya stone quoted sheets, pia naweza kupata wapi hapa Tanzania
Asante kwa marekebisho mkuuquoted
coated
Ndio mkuuNdo yale mabati kama yana mchanga mchanga ivi???
NitajitahidiNenda nabaki afrika ipo mikocheni kama unataka vigae au kama ni sheet kama sheet cheki na mmi steel itv au ando roofing tegeta kwa mzee maimu
NitajitahidiNenda nabaki afrika ipo mikocheni kama unataka vigae au kama ni sheet kama sheet cheki na mmi steel itv au ando roofing tegeta kwa mzee maimu
Kama uko dar nenda Ando tiles iko TegetaAsante kwa marekebisho mkuu
Asante mkuu, huna taarifa ya bei?Kama uko dar nenda Ando tiles iko Tegeta
Namba za kiwandani...huyu ni mkurugenzi 0754306445Asante mkuu, huna taarifa ya bei?
Mkuu naona umekuja na namba ya muhusika ili ashindwe yeye tuNamba za kiwandani...huyu ni mkurugenzi 0754306445
Uko vizuri, walio jenga utawajua tuNenda nabaki afrika ipo mikocheni kama unataka vigae au kama ni sheet kama sheet cheki na mmi steel itv au ando roofing tegeta kwa mzee maimu
Alete visingizio tu, asiposaidika aseme apewe na kwingine...ukimpa bei atakuona dalali acha aongee na mwenye mali roho yake iridhike na alete mrejeshoMkuu naona umekuja na namba ya muhusika ili ashindwe yeye tu
AhahahahAlete visingizio tu, asiposaidika aseme apewe na kwingine...ukimpa bei atakuona dalali acha aongee na mwenye mali roho yake iridhike na alete mrejesho
Haifai kusimangana, hakuna asiyesaidiwa dunianiAhahahah
Huu ni msaada ambao hauna masimango
Asante sana. Nimemcheki anazo na bei yake ni:Namba za kiwandani...huyu ni mkurugenzi 0754306445
Bulk 0756055025 MkurugenziAsante sana. Nimemcheki anazo na bei yake ni:
1. 19500 sm 124 kwa sm 40
2. 18500 kwa ukubwa kama huo huo