hii ndio Dar es salaam

ni dar es salaam pekee unaweza ukamsindikiza mtu mpaka airport huyo mtu akafika Dubai wewe bado hujafika nyumbani foleni za dar kiboko

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Kweli kabisa naunga mkono hoja! nimewahi kutoka Dar kwa ndege hadi Zanzibar Niliondoka dar saa 3 asbh nilifika Znz nilifanya kazi zilizonipeleka Znz niligeuza saa nane mchana siku hiyohiyo aliyenileta Airport Dar asbh ile alikuwa bado hajafika nyumbani kimara nikamwambia geuza uje unichukue akafika Airport saa 10 jioni. yaani hii foreni kero yake imepitiliza.
 
huyo mtu alipata lunch kweli siku hyo
 
ni dar es salaam pekee unaweza ukamsindikiza mtu mpaka airport huyo mtu akafika Dubai wewe bado hujafika nyumbani foleni za dar kiboko

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Naunga mkono hoja mkuu

Tatizo ni magari mengi kiasi cha kuzidi uwezo wa barabara zetu au magari bado machache lakini miundombinu miovu ?
Msaada please
 
Mkuu issue kubwa ya dar ni kwamba kila mwenye gari anatak lipite njiani! Miundo mbinu inakuwa michache kuliko barabara, mbn nchi za wenzetu kweny viwanda vya magari hakuna foleni? Wamewekeza usafir wa umma, na hapa kwetu wizara ingeamua ilete magar ya umma ya kukidhi mahitaji watu wangetoa magari yao uwanjani! America mtu ana gari la maana anachukua public transport au baiskel kwendea kazini na matembezi
 
ni dar es salaam pekee unaweza ukamsindikiza mtu mpaka airport huyo mtu akafika Dubai wewe bado hujafika nyumbani foleni za dar kiboko<br /> <br /><br />[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Mkuu issue kubwa ya dar ni kwamba kila mwenye gari anatak lipite njiani! Miundo mbinu inakuwa michache kuliko barabara, mbn nchi za wenzetu kweny viwanda vya magari hakuna foleni? Wamewekeza usafir wa umma, na hapa kwetu wizara ingeamua ilete magar ya umma ya kukidhi mahitaji watu wangetoa magari yao uwanjani! America mtu ana gari la maana anachukua public transport au baiskel kwendea kazini na matembezi
Nani atafikiria hili wakati viongozi wanajua kusoma na kuandika tu!!

Wangefanya hivyo hakika uchumi wa nchi ungekuwa na chanzo kizuri kabisa cha pesa.
 
ni dar es salaam pekee unaweza ukamsindikiza mtu mpaka airport huyo mtu akafika Dubai wewe bado hujafika nyumbani foleni za dar kiboko

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Kuna ndugu yangu alinipigia simu akasema ndo anaend kupanda ndege kutoka Mwanza kuja Dar. Mie nikaondoka tokea Sinza kwenda Airport. Nilitoka saa sita mchan na yeye alikuwa afike sa saba na nusu mie nikafika JNIA saa tisa na nusu.
 
Mkuu issue kubwa ya dar ni kwamba kila mwenye gari anatak lipite njiani! Miundo mbinu inakuwa michache kuliko barabara, mbn nchi za wenzetu kweny viwanda vya magari hakuna foleni? Wamewekeza usafir wa umma, na hapa kwetu wizara ingeamua ilete magar ya umma ya kukidhi mahitaji watu wangetoa magari yao uwanjani! America mtu ana gari la maana anachukua public transport au baiskel kwendea kazini na matembezi
sijaelewa mkuu unaposema miundombinu micheche kuliko barabara
 
Back
Top Bottom