Recent content by Boss maskini

  1. Boss maskini

    Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

    Nawapongeza polisi wanaoitekeleza hiyo operesheni..
  2. Boss maskini

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Kama amtaki kuoa basi subirini kuolewa nyinyi
  3. Boss maskini

    Hii ndio top ten yangu mpaka sasa

    Duh! Kazi kweli kweli
  4. Boss maskini

    Matukio ya Ushoga duniani

    Swali nzuri sana ''unafanya nini choo cha wanaume?''.
  5. Boss maskini

    Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Dj dj tuletee wawekezaji kwa wimbo wa profesar jay ft sholo mwamba (kazi kazi kaziii). Tukae kwa kutulia dawa ituingie vizuri.
  6. Boss maskini

    Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    Tukae kwa kutulia mama anafungua nchi. ''MTANIKUMBUKA NA SIO KWA MABAYA BALI KWA MEMA''
  7. Boss maskini

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Bwana mdogo subiri tunafungua nchi kwanza. Tuendelee kuangalia jinsi mama anavyo upiga mwingi.
  8. Boss maskini

    “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    Kama mpaka wanasiasa wanaenda, unafikiri nani atakuwa na uwezo wa kukomesha(kukataza) iyo biashara.
  9. Boss maskini

    Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Kwani wewe unavaaje? Kabla atujakosoa hao vijana wa dar, ebu weka picha yako kwanza.
Back
Top Bottom