Recent content by boss B

  1. B

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Kweli uko feableminded kija,unataka akaonge au ?
  2. B

    Msaada wenu wadau

    Tafuta mpya
  3. B

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwa msaada wa kusajili kampuni na elimu kuhusu usajili wasiliana na mmi nitakusaidia free of charge.
  4. B

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni vigumu kusajili company bila kua na mwanasheria,utaibiwa tu bure,hata hivo sio bei sana kusajili company,usijidanganye kua ukienda brela ndo utafanikisha kusajili on our personal capacity,mambo hayako hivo.
  5. B

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Wapo wanaoishi mbele maisha mazuri wewe unaenda umeishia darasa la saba ,hata kujiendeleza utaki unategemea nini,?
  6. B

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Tatizo sio kukaa majuu,unaenda huko una malengo ,au kudhurula tu ?
  7. B

    Ephraim Kibonde upunguze ubishi, Rais ana mamlaka ya kumfukuza mteule wake

    Labda ni sheria za kazi za clouds ndo zinaruhusu pombe,utaingiaje bungeni umelewa,na alisikia huyo waziri alivyokua anajibu,na kama anadai anatimiza kazi zake vizuri siku ile alitimiza vipi,that is gibberish.
  8. B

    Ephraim Kibonde upunguze ubishi, Rais ana mamlaka ya kumfukuza mteule wake

    Akatangaze clouds huko,anahoji nini sasa anadhani rais anakurupuka hana washauri?
  9. B

    Baada ya kumjua mlevi sasa tunamsubiri mvuta bangi na muasherati

    Sasa huyo mvuta bangi aje nabangi bungeni hahaamaisha.
  10. B

    Kwanini wakandarasi wa ndani hawapati tenda zote? Nyumba 9,500 za Magereza zitajengwa na Wachina

    Tanzania tuna wakandarasi kaka,au wasafisha mabati tu ...we angalia hata barabara wanazojenga tu bora hao wachina.
  11. B

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Umekwisha pewa mkataba wa kazi tayari mkuu,maana usije kua unasema umeajiriwa na mkataba hauna,kama ushapewa mkataba tayari,wajibu wa kutoa kazi anaomwajiri,kuwe kuna kazi au hakuna unapaswa kulipa,kama watakunyima kazi wanapaswa kukulipa ,maana kwanza unakua usumbufu labda ndani ya huo muda...
  12. B

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Hakuna sheria inasema mwajiri lazima ampe mwajiriwa wake copy ya sheria ya kazi,ila ni lazima ampe mkataba ,ndani ya huo mkataba ndo kuna terms na conditions zilizome kwa hiyo sheria.
Back
Top Bottom